Badala ya Ule Ujumbe tuliouzoea wa kukataza watu wasipokee Rushwa ili kuchagua viongozi, Leo wameleta Ujumbe Mpya!
Huu hapa.
Unadhani kwanini wamebadili Maudhui?
Mkurugenzi wa Uenenzi na Mawasiliano CHAUMMA ndugu John Mrema (Pichani) akisalimiana na mgombea Ubunge kupitia chama hicho Jimbo la Hai ndugu James Mbowe kwenye muendelezo 2a kampeni za uchaguzi mkuu.
Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni.
Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo.
Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz...
Hapa kilichobaki ni Kulinda kura tu, baaaasiii.
Unaambiwa Umati ni Mkubwa kiasi cha vyombo vya habari kushindwa kuupiga picha kwa kuogopa kufungiwa.
Peter Madeleka- Hatuwezi kuleta mabadiliko...
Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine.
IDU ni muunganiko...
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewashauri baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani kuendelea kushindana kwenye nafasi ya makamu wa kwanza wa rais badala...
Rostam anasema alikuwa Japan akiendelea na biashara zake ndipo akapata simu kutoka kwa Shujaa Magufuli wakasalimiana kwa kisukuma
Rostam Aziz anasema aliporejea nchini Shujaa Magufuli akasema...
Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate.
Mfano.
Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na...
Ufisadi haulipi, Manji alidhani Waislamu hawajitambui akapora mali zao pale Chang’ombe sasa hayupo wanafaidi wengine!
Wako wanaodhani Ufisadi ni Sifa au Ujanja
Nawasihi wajitafakari sana
Mifano...
Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto
Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao...
Ujenzi ulioendeshwa kwa kasi na udhamini wa Rais. Ujenzi ulianza Desemba 2019 na ulifikia asilimia 85 ifikapo Machi 2024.
Katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mradi ulikua kwa...
My Take
SSH mtamshinda Kwa majungu na fitina tuu ila linapokuja suala la delivery hakuna wa kumfikia.
Kuhusu za kuimarisha Uchumi na kufungua Nchi ndio hizi zimezalisha mabilioni wengi sana...
Kashfa kubwa zaidi ya Ufisadi Nchini Tanzania kuliko zile za EPA na ESCROW!!
CCM wanamiliki mgodi mkubwa sana wa Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma. Haifahamiki pia ni kwa namna gani na kwa taratibu...
Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram.
Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa...
Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa...
Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KUTOONEKANA KWA ELISHA JUMA HASSAN
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linachunguza na kufuatilia kwa karibu tukio la mtu anayedaiwa kuchukuliwa na watu ambao hawajafahamika...
CCM ina mambo yake yanakosolewa na watu ila kuna jambo moja wamelipatia sana, ambalo vyama vingi barani afrika vimefeli
nalo ni kujenga chama ambacho kinamjumuiko (inclusivity) ya watanzania...