Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam. CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa...
2 Reactions
2 Replies
379 Views
Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna...
1 Reactions
0 Replies
237 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri...
20 Reactions
220 Replies
11K Views
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii...
7 Reactions
64 Replies
3K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake “Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya...
26 Reactions
160 Replies
9K Views
Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao. Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa...
8 Reactions
12 Replies
806 Views
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?. Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu...
34 Reactions
84 Replies
5K Views
Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi. Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema. Kwa kweli Reforms,haswa katika masuala ya uchaguzi, haziepukiki...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kuulizwa udikteta ni nini, akatoa jibu, 'Udikteta ni serikali ya mtu mmoja au kikundi cha watu wachache ambao wao ndio huwa sheria, anayepinga matakwa yao huonyeshwa...
3 Reactions
13 Replies
644 Views
Hii ndio Taarifa ya Sasa AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea. Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, Kupitia mitandao ya kijamii, chama cha ACT Wazalendo wamedokeza kuwa leo wana jambo lao zito ambalo wanataka kuwawasilishia wananchi. Ni jambo gani? Fuatilia uzi huu, ujue nini...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo. Katika ziara hiyo Waziri wa Maji...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
3 Reactions
16 Replies
885 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…