Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mmoja ni mfugwa wa rohoni na mwingine mfugwa wa kibinadamu. Ingawa kibinadamu Lissu ni mfugwa lakini roho yake ipo huru. Wakati mwenzake kufanya kazi ya kulazimishwa moyoni hayuko huru
1 Reactions
4 Replies
278 Views
Ndugu zangu Watanzania, Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu...
6 Reactions
98 Replies
4K Views
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha...
79 Reactions
267 Replies
26K Views
Hivi tujiulize kwa dhati tu: "Hivi kuna yeyote ambaye angeweza kuwapelekea ule moto, kwa moyo na kwa namna ile kama huyu mwamba tena akitokea Konga?" Si kuwa binadamu tumeumbiwa husuda...
14 Reactions
31 Replies
1K Views
Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia...
8 Reactions
21 Replies
949 Views
Wakuu, Rais Samia na First Gentleman wana watoto 4 (waotambulika kiserekare), wakike mmoja na wakiume 3. Watoto wanaojulikana ni wawili: Wanu ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum na sasa...
7 Reactions
75 Replies
5K Views
Wasifu wa MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MAISHA YAKE Mhe. Samia Suluhu Hassan alizaliwa Januari 27, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya...
2 Reactions
8 Replies
914 Views
Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa...
2 Reactions
0 Replies
263 Views
Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200. Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza...
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumbe nani angependa kwa maovu yake, akawe wa kufilisiwa, kwenda jela au kumwaga mbio, wakati alikuwa akilamba asali? Thubutu! Kwamba si kila atakayeonekana kuwa amsha waliolala watakula naye...
3 Reactions
14 Replies
723 Views
Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025 === Leo Septemba 9, 2025 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa...
43 Reactions
145 Replies
14K Views
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya...
14 Reactions
43 Replies
2K Views
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi...
2 Reactions
14 Replies
878 Views
Kwanza naanza kwa kusema rais magufuli unakosea sana kwa kusema kwamba ikulu umeitafta mwenyewe, sentensi hii inawaumiza sana watu waliopigana kufa na kupona, Kuna watu muhimu ambao bila wao leo...
24 Reactions
167 Replies
38K Views
Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Endelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayefuatilia hii kesi, atakubaliana nami kuwa Lissu amewazidi vibaya sana kwa hoja mawakili la serikali mpaka kufikia hatua ya hawa mawakili wake serikali kuiomba Mahakama itumie...
18 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…