Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison. Not so sure where exactly is he being taken ——— UPDATE: My insider indicates that he has been moved to Ukonga...
38 Reactions
352 Replies
24K Views
BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John...
0 Reactions
4 Replies
736 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake...
21 Reactions
139 Replies
6K Views
NI JUKUMU LA UVCCM KUWALINDA VIONGOZI WETU WA CHAMA - SHAMIRA Mjumbe wa Baraza Kuu (UVCCM) Taifa Ndg Shamira Mshangama amesema vijana wa CCM wana jukumu la kulinda viongozi wanaotokana na Chama...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani...
6 Reactions
101 Replies
6K Views
Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!. Hayo hukuyajua wakati CCM...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekuwa na kauli inayozidi kushika kasi miongoni mwa wanasiasa wa upinzani: “No reform, no election.” Wana maana gani? Wanataka kusema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka marekebisho ya mfumo wa...
2 Reactions
14 Replies
939 Views
14 Aprili 2025 JENERALI ULIMWENGU - NO REFORMS NO ELECTION 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DVu9sNRqeXM Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 uvunjaji wa kushangaza wa kuvuruga uchaguzi yalifanyika...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
" Nchi hii si ya chama kimoja, kwamba wananchi wote ni CHADEMA wako wa vyama vingine wanaenda kwenye uchaguzi, unaposema tuende barabarani kuzuia uchaguzi, unakwenda kuwazuia hawa wananchi...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!? Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu, Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025. Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM...
20 Reactions
87 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Musoma Jumanne - tarehe 22 Aprili 2025...
1 Reactions
6 Replies
575 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, amewataka wenezi wa chama hicho kuzingatia kanuni na miongozo ya CCM na kutokujihusisha na masuala ya kuwa machawa...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Najiuliza hili swali mara nyingi. Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili? Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kinachopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Rais wetu mpendwa Amefika hapo alipo kiuongozi kwa Neema tu ya Mwenyezi Mungu. Amepanda na kukwea ngazi za kiuongozi kwa...
0 Reactions
9 Replies
618 Views
Back
Top Bottom