Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo awaapisha wananchi wa Kigoma mjini kumchagua Samia mgombea urais kupitia Chama hicho
3 Reactions
8 Replies
581 Views
Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different. Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Huyu hastahili kupuuzwa, hiki anachofanya ni kueneza itikadi chafu zinazochochea chuki ya kidini. Anaponyamaziwa kana kwamba hana madhara, anapata nafasi ya kujenga mtandao wa wafuasi, hasa...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences...
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake...
1 Reactions
3 Replies
357 Views
Mgombea ubunge wa Temeke kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewa-omba wakazi wa Temeke kumchagua kuwa mbunge wao ili kuweza kuwakilisha kero zao bungeni, ka-ma alivyowahi...
3 Reactions
11 Replies
717 Views
Je, kauli hii ya mgombea Urais kupitia CHAUMMA inaashiria anayaunga mkono maanadamano yaliyopangwa kufanyika hivi karibuni na wanaharakati pamoja na wananchi wanaoonesha kutounga mkono...
2 Reactions
17 Replies
613 Views
Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi
1 Reactions
4 Replies
393 Views
Muda huu nimepokea SMS kutoka TAKUKURU ambayo imeniacha na maswali kibao. "Kura ni haki yako, usiuze kura, piga 113 kutoa taarifa za rushwa.' Najiuliza kwa hapa tulipofikia kunahaja ya kuwepo...
11 Reactions
47 Replies
1K Views
Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) kimesema endapo kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaanzisha hatua kali dhidi ya vitendo vya ufisadi, ikiwamo kujenga bwawa maalumu lenye mamba...
2 Reactions
8 Replies
567 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya vurugu au uhalifu kuelekea siku ya kupiga kura ya uchaguzi mkuu itakayofanyika Oktoba 29, mwaka huu. Kamanda wa Polisi...
2 Reactions
26 Replies
993 Views
Leo, Alhamisi Septemba 18.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Leo Jamhuri...
1 Reactions
5 Replies
989 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Onyo kwa wale wanaotaka kuvuruga Amani siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 na kwamba "Vyombo vya Ulinzi na Usalama JTM na vya Zanzibar vimejipanga vyema kulina nchi...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Mamlaka za Serikali na zenyewe zifuate sheria,' anasema Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Africa
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi. 1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za...
25 Reactions
82 Replies
4K Views
Wanabodi, Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu...
14 Reactions
823 Replies
93K Views
Kati ya Jumatano na Alhamisi wiki hii inayoisha leo akiwa nyumba ya Dar, Sinza anakoishi, alijilipua na risasi kidevuni, hakufa akakimbizwa na jirani yake kupelekwa Muhimbili Hospital. Pale...
13 Reactions
73 Replies
6K Views
Aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Jamal Rwambow ambaye kwa sasa anagombea Ubunge wa chama Cha ACT Wazalendo, Jimbo la Mbagala ambaye amefunguka mengi sana. Soma > Aliyekuwa...
3 Reactions
10 Replies
803 Views
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai. Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo...
23 Reactions
339 Replies
40K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…