Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo...
8 Reactions
25 Replies
945 Views
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kote Duniani hii hapa Pichani: Heche akiwasili Ubalozi wa Vatican Nchini Tanzani kutoa Rambi rambi kufuatia kifo cha Papa Francisisko ======== Hali ndio kama...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania...
44 Reactions
156 Replies
9K Views
Kiongozi wa kiroho na Mratibu wa Tanzania Peace Foundation (TPF) Kanda za Juu Kusini, Joshua Msigwa ameshangazwa na matamko yaliyotolewa hivi karibuni na baadhi ya Viongozi wa Dini kutaka...
2 Reactions
11 Replies
612 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza muda mfupi baada ya kuachiwa na Jeshi La Polisi, mwandishi wa habari kutoka Global Online TV Grace Khuni amesimuliwa namna ambavyo alikamatwa na Jeshi La Polisi wakati...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na...
34 Reactions
141 Replies
7K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa Dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi...
0 Reactions
7 Replies
608 Views
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, leo amefichua kuwa malumbano ya kiuongozi katika utekelezaji wa mradi mmoja yalikwamisha...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo Aprili 23, 2025 Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini. Ndugu Mchinjita amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa...
1 Reactions
3 Replies
492 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewataka Walimu wa Mkoa wa Morogoro kuwaandaa vijana wasomi, wanafunzi wenye maadili mazuri ili Taifa lipate wataalam na viongozi...
0 Reactions
5 Replies
408 Views
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi. Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
"Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata...
0 Reactions
11 Replies
748 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani. Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano Soma: Pre...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie. === Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa...
4 Reactions
78 Replies
4K Views
Back
Top Bottom