Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga.
Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais...
Wakazi wa Arusha wamepongeza maendeleo makubwa yaliyoletwa Tanzania na Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR, Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere lililomaliza kero...
Wakuu,
Gazeti la The Citizen ilichapisha katuni hizi kwa nyakati tofauti kuonyesha mazingira ya uchaguzi nchini. Kwenye katuni ya kwanza inaonesha mnara ulianza kusoma freshi kuelekea box la...
Akiwa katika Muendelezo wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Uyole, Mgombea ubunge wa jimbo hilo dkt Tulia Ackson ameahidi kuboresha Elimu pamoja na Miundombinu ya barabara kama ilivyoelekezwa...
Wakazi wa Kitunda Relini kata ya Kitunda Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule mpya na ya kisasa yenye madarasa 14, maabara 4...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini...
Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii.
Tukumbukeni yule mama wa Tanga...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii.
Albert Chalamila ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara...
TRA imekuwa shirika butu
Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa...
Heshima ya Rais mstaafu hupaswa kuwa ni ya kiwango cha juu sana kwenye Taifa lolote alilowahi kulitumikia na kimataifa kwa ujumla .
Lakini kwa ile kauli ya Kikwete iliyotolewa jana akiwa huko...
Wakuu
Naomba kuuliza hawa watoto ambao wanaswagwa na CCM kwenye mikutano yao hawana wazazi?
Hii inamaanisha CCM walipeleka mpaka kosta zakusomba lakini wanachama wao wenyewe wakagoma kwenda...
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limelipinga vikali kauli zilizotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohamed Ally Kawaida, dhidi ya Rais wa Baraza la Maaskofu...
WARAKA WA CHACHA WANGWE. (Alifariki 2008)
UTANGULIZI.
Jumamosi, June 28 mwaka huu wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu ya CHADEMA walidai kuwa wamesitisha Umakau Mwenyekiti wangu katika kikao...
Habari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
Kanisa Katoliki latoa ufafanuzi: Kanisa Katoliki Dar: Warsha yetu haifanyiki Oktoba 29 itafanyika Novemba 29, 2025
1. Mzee KIBAO.
2. Chaula.
3. Mdude.
4. Soka.
Haya yafanyike regime ya waliotawala awamu hii wakiwa hai. Ili waone waliyowafanyia watanzania wenzetu.
Baada ya hapo asiwasahau pia kina:
1. Alphonce...
Usipokufa Kwa Malaria, Utakufa Kwa Ajali, Utakufa Kwa Ukimwi.
Ni kweli Dunia na Mambo yake yote ni tamu na yenye Raha .
Fikiria wee Kijana Msomi wa Degree , huna Ajira, wanakufanganya Et...
Kazi kubwa ya kiongozi yeyote wa dini, ni kuwasaidia waumini wake kujitenga na uovu/dhambi.
Kiuhalisia, uchaguzi unastahili kuwa tendo takatifu, hasa pale maamuzi yote wanapopewa wananchi. Kwani...
Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR Mageuzi Dkt. Eveline Munisi amesema usalama katika nchii utaimarika sana na ataweka mazingira mazuri kwa...