Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Maduhu Williams kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) amewaeleza Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
"Kilichotokea Oktoba ni funzo kwetu na matatizo ya muda mrefu ambayo yanahitaji hatua za dharura, za kati na za muda mrefu kuzitatua kwa sababu unapokuwa katika taifa ambalo linakuwa na Sonona...
1 Reactions
3 Replies
165 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasiia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Novemba 12, 2025 baada ya kuisha kusikilizwa kwa kesi ya Uhaini ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu...
7 Reactions
5 Replies
341 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa pole kwa Walipakodi, Watumishi wa TRA na Watanzania wote kwa ujumla waliopata athari mbalimbali zilizotokana na...
0 Reactions
6 Replies
312 Views
Watanzania wamehimizwa kuvumiliana, kudumisha umoja na kuijenga nchi kwa pamoja, wakitakiwa pia kupuuza uvumi mbalimbali unaoelezwa kwenye Mitandao ya Kijamii kwamba Askari Polisi na Maafisa wa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Viongozi wa vyama vya siasa mkoani Tanga wamewataka wananchi kuendelea kudumisha utulivu na amani waliyoonyesha wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 mwaka huu. Viongozi hao wamesema hayo...
0 Reactions
5 Replies
167 Views
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Bumbwini, Unguja, Zanzibar Mhe. Mwinyi Jamal Ramadhan alipata taabu kuapa mbele ya wabunge wenzake, hali hii imetokea bungeni leo Novemba 12, 2025 bungeni...
3 Reactions
19 Replies
699 Views
Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano...
1 Reactions
15 Replies
696 Views
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche ametaka uchunguzi ufanyike na vyombo vya kimataifa kuhusu kilichotokea nchini tarehe 29 Oktoba 2025 siku ya...
3 Reactions
6 Replies
434 Views
  • Featured
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba, ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kuwa malalamiko yote ambayo yamekuwa yakitolewa na...
18 Reactions
59 Replies
3K Views
“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu” Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu. Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa...
33 Reactions
76 Replies
2K Views
Heko Firstpost and shame on our local media. Tasnia ya uandishi wa habari imekufa Tanzania. Hatuna waandishi wa habari wala vyombo vya habari sisi. Habari hii watu tunaipata kupitia vyombo vya...
15 Reactions
19 Replies
664 Views
Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta...
4 Reactions
3 Replies
350 Views
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka...
3 Reactions
5 Replies
235 Views
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda. Simply put, Uongo ni dhambi. Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini...
11 Reactions
30 Replies
933 Views
Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa? Watu wameuwawa...
5 Reactions
6 Replies
261 Views
Wabunge wasijidanganye kwenye chaguzi kama hizi wananchi hawataweza kukubali hata kidogo mchakato wa katiba kuendeshwa na bunge hili fake. Ni bora tusipotezeane muda na vijana wetu sasa sio...
1 Reactions
9 Replies
272 Views
Back
Top Bottom