Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa sasa Uchaguzi Mkuu umekaribia na bado miezi kama sita tu ambapo hakuna namna yeyote mabadiliko yanaweza kufanyika. Hivyo naomba Mamlaka kufanya yafuatayo mara tu baada ya Uchaguzi mkuu...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Kutoka Mahakamani Kisutu, Peter Kibatala anasema: Katiba inasema mtuhumiwa achukuliwe hana hatia. Haya matendo yanayoffanyika hapa hayaeleweki kabisa. Akija Mzee Alute Lissu Wakili ataendelea...
13 Reactions
89 Replies
5K Views
Wakuu, Kampeni za mbogamboga dhidi ya Lissu zinaendelea kupamba moto. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
1 Reactions
4 Replies
390 Views
Mbunge wa jimbo la Buchosa Anasema yeye hawezi kujivuna kwamba amejenga shule kwa sababu hana fedha za kutoka mfukoni kwake za kujenga shule bali fedha zimepelekwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia ni majadiliano, hoja na maelewano kwa lengo la kuimarisha umoja na ushirikiano katika kujenga taifa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. Mateso yote haya ni kwasababu nilienda Mahamani kufuatilia kesi ya Uhaini ya Mchongo aliyopewa Mh. Tundu Lissu, nikakamatwa Mimi na...
3 Reactions
4 Replies
545 Views
Wakuu, Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️ ===== Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya: Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi...
9 Reactions
76 Replies
4K Views
KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI Dar es Salaam, 24, Aprili 2025 Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka serikali kuwarejeshea wenyeviti wa vitongoji mihuri yao iliyondolewa kwa madai yasiyo na msingi. Akizungumza leo Aprili 23 bungeni jijini Dodoma wakati wa...
2 Reactions
9 Replies
728 Views
Hii serikali ya Tanzania imekuwa ikituzarau! Tume ya Uchaguzi ni chombo kinachopaswa kuwa huru kabisa—lakini leo hii, ni kama idara ya chama tawala! Tunawauliza: 1. Kwa nini Rais, ambaye ni...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari...
15 Reactions
82 Replies
5K Views
Wakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo. Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!! Simba ni mtawala na...
57 Reactions
218 Replies
14K Views
Akizungumza na wanahabari hivi, karibuni askari mmoja wa JKT amejitokeza na kusema kuwa alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu na kupewa ofa ya kiasi cha pesa anachokitaka ili atekeleze shambulio...
8 Reactions
112 Replies
8K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita...
10 Reactions
107 Replies
5K Views
Serikali imesema kuwa iko kwenye hatua za Mwisho za Tathimini juu ya kiwanda cha Chai Lupembe kinachopaswa kurejeshwa Mikononi mwa Wananchi ambapo imeelezwa kuwa baada ya Tathimini hiyo ya kina...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Kwa huzuni kubwa niseme kuwa chama cha CHADEMA ni kama kimeshajifia. CHADEMA imebaki hasa hasa kwa wanaharakati wa demokrasia tu ila imepoteza kwa kiasi kikubwa uungwaja mkono wa wananchi, huu ni...
-2 Reactions
31 Replies
1K Views
Usiiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Makao Makuu ya Chama akiwa salama. Hajaguswa. Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi Picha...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X "Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na...
43 Reactions
209 Replies
11K Views
Back
Top Bottom