Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania na waliosafiri kwa ajili ya biashara na masuala mengine Kimataifa na wenye haki ya kupiga kura hapo Oktoba 29, 2025, wamehimizwa kurejea nchini na kushiriki...
1 Reactions
2 Replies
262 Views
Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia ...
0 Reactions
30 Replies
17K Views
Kulingana na mijadala iliyojitokeza kuhusiana na Kesi ya Mgombea Urais Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, Kuzuiliwa KUgombea Urais na Tume huru ya Uchaguzi ikidaiwa hana sifa za kuwa mgombea...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Leo mishale ya saa 7 mchana nimeona kundi kubwa la akina mama hapa Bonyokwa wakiwa wanazingira kwenye ukumbi wa Masia, katika kufuatilia zaidi kumbe mgombea ubunge jimbo la Segerea, bibie Bonnah...
5 Reactions
2 Replies
190 Views
Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia? =============== Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo...
3 Reactions
81 Replies
3K Views
Hii kamatakamata ya watu so called wa Taasisi inaleta loopholes za hata majambazi na watu wengine kujifanya nao wana mandate ya kukamata watu hivyo kupelekea maisha yetu mtaani kuwa ya hatari...
5 Reactions
12 Replies
901 Views
Salaam, Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi Pia...
12 Reactions
19 Replies
823 Views
Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Nimejaribu kuandika kama alivyosimua Mariam Paul kwenye Video hapa chini. Christmas ya mapinduzi. Mwaka 1965 alekwa Raisi wa Romania, Geoge Geogu Deji. Alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo suala la Usalama wa Raia kwao siku hizi halionekani kuwa ndo msingi mkuu Jeshi la wananchi mpaka mmeitwa jeshi la wananchi maana yake mkisema muwatoe...
2 Reactions
10 Replies
615 Views
Wananchi Mkoani Rukwa wamepata hamasa kubwa kufuatia tangazo la ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa...
1 Reactions
3 Replies
185 Views
Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya...
2 Reactions
14 Replies
756 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa onyo kali kwa watu wote watakaothubutu kuvuruga amani kwa kile alichokiita homa ya uchaguzi akisema Serikali haitamvumilia yeyote atakayehatarisha...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama...
3 Reactions
8 Replies
520 Views
Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa...
1 Reactions
3 Replies
172 Views
Salaam Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM. Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani. Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi...
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye...
1 Reactions
15 Replies
467 Views
https://youtu.be/xAt_0R-fv0k?si=oT7VUl1dtDP9SkZi
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Wenje tangu ahamie CCM amecharuka zaidi :Alien: :Alien::Alien: Vituko vinaendelea huko Wenje anasema amepata wokovu CCM leo hii anaiponda CHADEMA eti ni hawana mipango wanashinda Mtandaoni kazi...
1 Reactions
6 Replies
259 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…