Nataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko, watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini.
Pia kuna, Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka n.k, atakayetaka zuia...
Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kuwajibika kulinda amani ya Tanzania, akitaka pia wale wote wenye maoni na hisia tofauti...
Mwanasheria na Mwanafalsafa wa Sheria, Dkt. Khamis Masoud, ameshauri Mahakama kuchukua hatua kali dhidi ya mawakili waliodaiwa kufanya fujo wakati wa kusikilizwa kwa kesi inayomhusu Mwenyekiti wa...
Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake...
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu mstaafu mh Utouh amesema Serikali hadi inapinduliwa na Watu wake ujue Watu Hawafurahishwi na yanayoendelea nchini mwao
Utouh amesema Serikali Zijifunze kwa wenzao...
Waandishi wa habari mkoani Mtwara wamepewa mafunzo kuhusu namna ya kuripoti kwa kuzingatia haki, usawa na weledi katika kipindi chote cha mchakato wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba...
Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza...
JE, UKO TAYARI Dokezo!
Kwa kawaida, madikteta mara nyingi huathiriwa na kuungwa mkono na viongozi wenzao wabaya kutoka ndani ya eneo hilo, majirani na baadhi ya wageni ambao wanaweza kulazimika...
Unaweza sema ni kimavi au nukusi?
Yaani yeye na genge lake wote wamekataliwa na Watanzania ni aibu kweli!
Ilikuwa page ya yanga leo huyo chawa wa Samia baada ya kupositiwa.
Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini.
Akizungumza katika kikao cha...
Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka...
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo Butiama...
Hii kauli ya Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia Suluhu imenifikirisha kidogo.
Amesema hana nia ya kugombea Urais Zanzibar kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kugombea nafasi ya 3 wakati kwa ngazi za...
#BREAKINGNEWS
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), aliyekuwa mkazi wa Jiji la Arusha.
Akitoa taarifa kwa...
Jamii ya Wahdzabe wanaopatikana Eyasi, Karatu mkoani Arusha wamesema wapo tayari kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 ili kuchagua kiongozi atakayewatambua kama sehemu ya...
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais...
"Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama...