Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa kupitia Citizen Tv ya Kenya, wanachama wa Chadema na wajumbe wa kamati kuu, John Pambalu na Rose Mayemba wameomba hifadhi nchini Kenya baada ya vurugu zilizotokea Tanzania 29 Oktoba...
13 Reactions
35 Replies
1K Views
Kwenye Jicho langu la Rohoni, Mungu kanionyesha Maandamano makubwa ya Watu misili ya Mchanga wa Bahari !!. Ule Wingi wa watu umetengeneza Ukuta wa Ulinzi kiasi kwamba Hamna Pepo CHAFU ya...
7 Reactions
15 Replies
788 Views
TAARIFA KWA UMMA Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na...
0 Reactions
10 Replies
630 Views
Wakati mauaji ya Tiananmen ya Juni 4, 1989, yalipokuwa yakitokea nchini China, nilikuwa Darasa la Sita katika Shule ya Msingi ya Kigoma. Sikuiona kwenye TV kama wengine kwa sababu hatukuwa na TV...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila mtu binafsi, shirika, na mwanajamii aliyesimama nasi wakati huu mgumu sana. Usaidizi wenu usioyumba, huruma, na juhudi zenu zisizochoka ziliwapa nguvu...
4 Reactions
7 Replies
404 Views
Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini, Wakili Samwel Welwel maeneo ya Kibaoni Arusha, akiwa anaelekea kijijini kwao Karatu. Amepelekwa...
1 Reactions
8 Replies
524 Views
Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa. Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high...
21 Reactions
14 Replies
635 Views
"Tunatoa wito wa uchunguzi huru na usio na upendeleo kuhusu Mauaji ya Oktoba 2025, unaoongozwa na Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika. Mwanga wa ukweli na uangaze kila kitendo cha kikatili, kila...
2 Reactions
17 Replies
602 Views
Leo, tarehe 13 Novemba 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ametuma salamu kwa watumishi wa umma waliokuwa wavivu, wazembe na wala rushwa, akiwahakikishia kuwa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar, Dokta Hussein Ali Mwinyi, leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura ya mabadiliko na uwiano wa kisiasa, akiongeza idadi ya wizara hizo kutoka 18 hadi 20. Katika orodha...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Bwn Kibonde alisema yeye akiwa Rais wa Tanzania atampa ajira Rais Samia, lakini baada ya kubwagwa kwenye nafasi hiyo amepeleka huruma sasa apewe uteuzi. Jinsi Samia anavyopenda sifa basi anaweza...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Mijadala imeanza kupamba moto huko TikTok baada ya vijana GEN- Z TZ kumwandikia barua rasmi RAIS Samia AJIUZULU KWA hiari wamekiri kutuma barua hizo kwa njia mbalimbali rasmi za ikulu mawasiliano...
18 Reactions
52 Replies
3K Views
SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya Ulinzi na...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemjibu mtangazaji aliyeuliza kuhusu matarajio yake kwa hotuba ya Rais atakayefungua Bunge kesho. Akijibu kwa kifupi...
5 Reactions
10 Replies
617 Views
Mbunge wa Jimbo la Mtumba Mh. Anthony Mavunde ameshiriki na mamia ya wananchi wa Mtaa wa Maseya Kata ya Hombolo Makulu mkoani Dodoma kuanzisha ujenzi wa Zahanati katika mtaa huo ikiwa ni...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
4 Replies
556 Views
Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na ushawishi na makundi yenye kuwahamasisha kufanya...
2 Reactions
10 Replies
481 Views
Mchungaji Rose Shaboka ameiambia DW kuwa serikali pia lazima ijitoe ili kuzungumza wazi na wananchi katika kuliponya taifa, Lazima Wantanzania wakubali kilichotekea, na kutafuta suluhu kwa siku...
1 Reactions
0 Replies
172 Views
Back
Top Bottom