PostGE2025 Gen Z wawataka Rais Samia, IGP na CDF wajiuzulu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

franci45

Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
76
Reaction score
113
Mijadala imeanza kupamba moto huko TikTok baada ya vijana GEN- Z TZ kumwandikia barua rasmi RAIS Samia AJIUZULU KWA hiari wamekiri kutuma barua hizo kwa njia mbalimbali rasmi za ikulu mawasiliano ikiwemo, email, fax pamoja na posta ambapo upande wa email ulirudisha majibu kwamba ujumbe umepokelewa kwa ujumbe wa kiotomatiki wanahitaji AJIUZULU kufikia tarehe 1 mwezi wa 12.

Ikiwa hajajiuzulu basi hawatakuwa na namna yoyote ya maridhiano isipokuwa wamepanga kufanya maandamano ya amani yasiyo na kikomo kuanzia tarehe 9 December lengo la madai yao ni kujenga nchi up ya ktk mifumo ya uendeshaji nchi ikiwemo katiba mpya, ukiukwaji wa Hali za binadamu n.k

Barua1.jpg
Barua 2.jpg
 
Attachments

Mijadala imeanza kupamba moto huko TikTok baada ya vijana GEN- Z TZ kumwandikia barua rasmi RAIS Samia AJIUZULU KWA hiari wamekiri kutuma barua hizo kwa njia mbalimbali rasmi za ikulu mawasiliano ikiwemo, email, fax pamoja na posta wanahitaji AJIUZULU kufikia tarehe 1 mwezi wa 12.

Ikiwa hajajiuzulu basi hawatakuwa na namna yoyote ya maridhiano isipokuwa wamepanga kufanya maandamano ya amani yasiyo na kikomo kuanzia tarehe 9 December lengo la madai yao ni kujenga nchi up ya ktk mifumo ya uendeshaji nchi ikiwemo katiba mpya, ukiukwaji wa Hali za binadamu n.k
Safi sana tuko pamoja.
 
Mijadala imeanza kupamba moto huko TikTok baada ya vijana GEN- Z TZ kumwandikia barua rasmi RAIS Samia AJIUZULU KWA hiari wamekiri kutuma barua hizo kwa njia mbalimbali rasmi za ikulu mawasiliano ikiwemo, email, fax pamoja na posta ambapo upande wa email ulirudisha majibu kwamba ujumbe umepokelewa kwa ujumbe wa kiotomatiki wanahitaji AJIUZULU kufikia tarehe 1 mwezi wa 12.

Ikiwa hajajiuzulu basi hawatakuwa na namna yoyote ya maridhiano isipokuwa wamepanga kufanya maandamano ya amani yasiyo na kikomo kuanzia tarehe 9 December lengo la madai yao ni kujenga nchi up ya ktk mifumo ya uendeshaji nchi ikiwemo katiba mpya, ukiukwaji wa Hali za binadamu n.k
Kumbe tanzania kuna Rais ? Ni nani aliye mchagua huyo kafiri.
 
"Wanaomba", au wanamtaka" ajiuzulu?

Hivi bado hawamjui Samia Suluhu Hassan ni mtu wa aina gani hadi wakati huu?

Nawasihi, kama kweli wanataka mabadiliko, njia pekee iliyopo sasa ni kufanya maandalizi ya kuyatafuta mabadiliko hayo kuanzia jana, siyo tena kumpa mtu kama huyo muda wa tarehe moja December.

Kwa Samia kilichobaki ni kuondolewa hapo alipo kwa nguvu; hakuna tena njia nyingine yoyote.
 
Unajua ndugu, kwa hulka yetu sisi watanganyika huwa ni wapole. Mfano, hata ukienda dukani kununua kitu utatoa pesa yako na kusema “Naomba kilo ya sukari” . Ndivyo tulivyo, tuna utaratibu wa kutumia lugha ya upole, haimaanishi hatuna uwezo kudai chetu pale inapotakikana.
 
Hatakiwi kuishia tu kujiuzulu.

Watu aliowaua bila hatia ni wengi mno na inatia uchungu mno.

Kila nikilala usiku inaniijia picha ya tukio la yule mama kule Arusha aliyeuawa akikimbia kuokoa maisha yake halafu mwanae akaanza kumuamsha.

Sijajua muuaji aliyefanya lile tukio anajiskiaje kila anapoiona ile video.... kama mimi tu hapa kila nikikumbuka mapigo ya moyo yanaenda mbio.
 
Nitumie PM hio video, just for the record
 
Lazima wewe ni mwendawazimu, kwa sababu hujui hata namna ya kujibu hoja wala kujenga hoja. Pole sana kwa uwendawazimu.
Hahahahaaa! Unaweza kuniletea hoja katika hii mada?!!! Una akili kweli wewe?
 
Back
Top Bottom