BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI
Una maneno yaliyotumiwa dhidi ya Nduli Idi Amin
Asisitiza utaifa ulindwe kwa wivu mkubwa
KATIBU Mkuu wa Chama Cha...
Ni mara chache sana huwa naandika kuhusu Siasa,na niweke wazi huu ni mtazamo wangu kama ambavyo nawe unaweza kuwa na mtazamo wako
Binafsi naona hii movement ingesubiri kwanza kwasababu moja...
Na Mwandishi Wetu,
Namtumbo: Njama zilizokuwa zimepangwa na mmoja wa watia nia wa ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma kuzuia makabidhiano ya gari jipya la wagonjwa (ambulance), zimekwama...
Naam zingatia mada tajwa hapo juu,
Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki...
Anadai unabii wake unaamwambia tutaingia kwenye uchaguzi na tume tofauti na ile ya zamani, na Rais Samia hajachanguliwa na Mungu kuendelea kuongoza hii nchi lakini atalazimisha maana wapambe...
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).
Soma Pia: CHADEMA...
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa...
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la...
Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani...
Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo.
Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea.
Nitakuwepo mbele kabisa...
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM Taifa, CDE. Mohamed Kawaida amewataka Vijana nchini kutojiusisha na kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo katika kipindi hiki cha...
Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka...
"kuanzia saa tatu asubuhi niliwekwa kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja na nusu usiku, ni tukio ambalo nalitafsiri kwamba polisi waliniteka na kuniweka kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja...
Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa na...
Kwa kuwa suala la amani ni jukumu la kila mtanzania kabla ya wizara yenye mamlaka husika moja kwa moja. Ni kwa nini wenye mamlaka husika wasingewaweka wazi watu hawa wabaya ili sisi raia...
Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la...
Anaandika Mtumishi waMungu:
UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA
Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali...
"Kanusho la polisi kuwa hayuko kituo cha polisi Central itakuwa ni kanusho la uongo kwa kuwa alipelekwa kituo cha polisi Central jeshi la polisi kupitia kwa mkuu wa jeshi la polisi lieleze ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.