PreGE2025 Hilda Newton, Aachiwa Kwa Dhamana usiku huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,029
Reaction score
6,875
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

Screenshot 2025-04-25 204428.png
Screenshot 2025-04-25 204443.png
 
Haya mambo ya siasa ndo maana wengi wameamua kufanya harakati mtandaoni tu 🤣-- bongo hizi nginja nginja za ground wananchi bado aisee-- huu ni ukweli ulio wazi
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Afande Muliro si alisema hawako nae? Sasa wamemtoa wapi. Ndio maana maaskari wakistaafu wanaishi maisha ya kuzimu hapa duniani. Kubabeki.
 
Kwanini Jana Muliro alisema hawamshikilii Hilda Newton? Muliro na mamaake Wamebakiza muda mfupi sana kumaamae zao. Juzi waliimba wapinzani wakifa watawatupa mtoni. Na sisi tunasema hatufi kwa matakwa ya binaadam ila kwa ahadi ya Mola tu. Wanang'ang'ania madaraka ya Nini wakati Kila mwaka CAG anaibua uozo na uvundo? The time is now.
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Hili ndio jeshi la polisi.. Walikataa hawako nae. Sasa wana mpa dhamana. Wapumbavu wakubwa.. Sasa ni kwa namna gani una weza waamini hawa wahuni??
 
Back
Top Bottom