GT
Ivi unaanzaje kupoteza mda kwenda kumchagua Samia.Wenye mtindio wa ubongo pekee ndiyo watapiga kura
1.Kauza Bandari na Rasilimali zingine nyingi tu
2.Kafukuza wamasai Ngorongoro kwa uonevu...
Picha mbalimbali zikimuonesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, akikagua gwaride na kuzungumza na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali katika viwanja vya Kikosi cha...
Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye!
Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako?
================
MKUU wa...
Akiwa ameketi kimya, macho yake yamekazia picha ya kiongozi anayezua mijadala mingi. Uso wake umejawa na fikra nzito, kana kwamba anapima tofauti kati ya maneno na matendo. Ni ukimya wenye ujumbe...
Haya matamko ya JWTZ mfululizo hivi mbona hayajawahi kuwepo kabla; yanakuwa mengi kupitiliza and so it leads someone to wonder, kwamba hali ya nchi ni tete kiasi gani hadi kuwalazimu JWTZ kutoka...
Majeshi ya Ulinzi na Usalama mkoani Morogoro Oktoba 18, 2025, yamefanya mazoezi ya pamoja yenye lengo la kuimarisha mshikamano, ushirikiano na utayari wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao...
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Mhe. Hassan Bomboko amefanya ziara ya kuwatembelea na kuzungumza na maafisa wasafirishaji (waendesha bodaboda na Bajaj) Wilayani humo na baadae alipata...
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kitazungumza na waandishi wa habari saa nane kamili mchana.
Pia Soma >> CHADEMA: Gari la Makamu Mwenyekiti limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18...
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.
Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania...
Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo
Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu.
Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko.
Mh Polepole alikua Mwana CCM...
18 October 2025
JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere
https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU
“Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwataka wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya...
Ustaadhi kagongelea hapo kwamba CCM ya wanamuona Wasira ndio damu yao inayochemka. Wanamuona kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka. Hawezi kwenda na kasi...
Kaandika hivi kwenye Page yake ya Instagram 👇
"Hii ndiio Tanzania ya samia na wanaompoteza na Hawa ndo polisi .😭😭😭tutoke jaman achana na kaul sa kusema wanaowashauli hawapo Tanzania
Mbn mm nipo...
Ukisoma maoni ya wengi mitandaoni na hata Tundu Lisu mwenyewe amewahi "kudhani" mara kadhaa kuwa amefunguliwa kesi ya uhaini "kimchongo" ili kupisha kipindi cha kampeni na huenda baada ya uchaguzi...
Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote!
Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
Wakuu,
Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako...
Yaani huu ndiyo ukweli halisi Polisi siyo wote wanapinga maandano na siyo Wanachama wote wanapinga maandamano bali wengi hawapendi jinsi inchi inavyoendeshwa na Rais
Ni vile wakati wa Magufuli...