Kama mnavyowapa elimu hii kipindi cha uchaguzi kwa nguvu kubwa, basi mafanye hivyo pia kuwapa elimu ya usalama barabarani katika kufuata sheria.
Maana kila siku visa vya bodaboda kupata ajali...
Hakuna wa kushauri, hakuna wa kukemea, hakuna wa kutoa kauli ya mwisho ,
Wote wanajiona wana nguvu sawa.
Nyumba isiyo na Baba, hata Mama akipewa mamlaka bado atajiona ni Mama tu .
Tumeyakanyaga...
Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani
Sasa...
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Makini, Simon Ngilisho, ameendelea na kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo huku akiahidi kuboresha miundombinu ya...
Wakulima wa mwani visiwani Zanzibar wameahidiwa kupata soko la uhakika na thamani ya zao hilo itakayofikia Shilingi 6,000 kwa kilo iwapo Chama Cha MAKINI kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu...
Cecilia naona hela inafanya kazi! Maana unajituma kuzipiga hizo kampeni kwa Samia. Au unautafuta uteuzi?
=================
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso...
Ni kweli, lakini uchaguzi wa mwaka huu umejaa dosari mapema sana!
Ukitizama hata mgombea wa chama tawala ndani ya chama chao utaratibu ulivunjwa kumpitisha, lakini wakakaza fuvu! Tunasema...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Tanga kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge...
Mara unaona Makonda katoka Arusha kaenda kumnadi mgombea wake wa Urais mikoa ya kanda ya ziwa na Dar es Salaam. Jimboni kwake hayupo kumpiga kampeni🤣
Nape akaacha kujinadi huko jimboni Mtama...
Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”???
Bi Mkubwa anaielewa...
Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu Chadema wakili Gaston Shundo amesema kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na jeshi la polisi kupitia kwa DZCO George Bagyemu kuwa, makamu Mwenyekiti wa...
Naibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Padre Deogratius Matiika, amesema kama kungekuwa na upendo katika jamii kusingekuwa na hila na kunyima haki za wengine, wala kulalamika juu ya...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, George Mbesigwe, amevitaka vyombo vya habari kufuata sheria, kanuni na maadili ya taaluma zao wakati wa kipindi cha uchaguzi, akisisitiza kuwa ni muhimu...
Nimeshangaa sana
Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.
Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣
Kulikuwa na haja gabu ya...
Hicho kitu gani kinachokwambisha kuanza ujenzi kama fedha ipo? Ulipaswa kukitaja ili wananchi wakifahamu na wala kutuletea ngonjera.
==============
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha...
Leo oktoba 22 kituo cha tafiti za maendeleo na demokrasia (CIP) kimewasilisha taarifa ya utafiti wa kura ya maoni uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, Mwaka huu 2025 ni mwaka wa...
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Mkoa wa Iringa, Bi. Nuru Sovella, amesema kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeweka mazingira rafiki na wezeshi kwa watu wenye ulemavu ili...
Upo msemo usemao kuishi kwingi ni kuona mengi. Pengine hili ndilo linalotoa tofauti kati ya baby boomers, generation X, millenials na Gen Z haswa inapokuja swala la kama Taifa, tumetoka wapi, wapi...
Tunasubiri kuona, kama itakuwa kweli. Maana tumechoka kusikia mara waandishi wamepokinywa vifaa vyao vya kazi au wamekamatwa
===================
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewahakikishia...