Oktoba 29, Usiache mbachao kwa msala upitao!

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
784
Reaction score
1,313
Upo msemo usemao kuishi kwingi ni kuona mengi. Pengine hili ndilo linalotoa tofauti kati ya baby boomers, generation X, millenials na Gen Z haswa inapokuja swala la kama Taifa, tumetoka wapi, wapi tulipo na tunaelekea wapi?

Ukisimama kwenye standi zetu kuu za mabasi leo, huoni watu wakishuka kwenye mabasi baada ya safari za siku mbili au tatu wakiwa wamejaa vumbi wao na mabegi yao.Hadithi kama hizi zinaonekana za kufikirika, lakini zilikuwa ni hali halisi ya nchi yetu angalau kabla ya 2005.

Kutoka Dar kwenda Mwanza ililazimu kuzungukia Nairobi kupitia Namanga na Silari, kutoka Mbeya Arusha ililazimu kuzungukia Chalinze. Tabora, Kigoma, Katavi na Rukwa hazikuwa zimeungwa katika mtandao wa barabara za rami. Wakati huo huo watu wa kusini hawajasahau adha ya kuvuka mto rufiji kwa mitumbwi kwa kukosekana daraja ambalo leo limeifanya mikoa ya kusini kuwepo kwenye mtandao wa barabara za rami.

Hali ya miundombinu ya jiji la Dar es salaam ilikuwa Mbaya sana. Safari yangu ya kwanza kwenda Dar, kipande cha Kibaha mpaka Ubungo tulitumia si chini ya saa tano kwasababu ya foleni isiyotembea. Leo hii Dar ina fly overs, barabara za njia sita na barabara za mwendokasi karibu kila uelekeo! Je, si hatua kubwa ya kujivunia?

Kwenye elimu, chukulia mfano wa jiji la Mbeya, shule ya sekondali ya kutwa ilikuwa ni Mbeya sekondali pekee. Loleza na Iyunga zilikuwa za kitaifa. Kupata nafasi ya kuchaguliwa ilikuwa ni moja kwa mia. Leo ukienda kila kona watoto wamevaa uniforms wamependeza wanaenda shule. Bado hatujasahau kejeli za hizi shule za kata zilipokuwa zinaanza, leo nani anabisha kuwa zimetoa wataalamu wa kila kada?

Hali ya umeme nchi hii ilikuwa ni mbaya sana. Mpaka katikati ya miji, nyumba zenye umeme zilichukuliwa kuwa ni za watu matajiri. Leo hii tunaongelea umeme vijijini kama jambo la kawaida kisha tunabeza serikali?

Sekta ya afya ilikuwa na changamoto kwelikweli. Nchi hii kipimo kama full blood picture ilikuwa ni anasa. Mpaka 2015 namaliza udaktari KCMC, machine za CT scan zilikuwa za kuhesabika. Huduma muhimu kama dialysis watu walizifuata Nairobi. Lakini leo hii nchi yetu imeingia kuwa kitovu cha medical tourism harafu tunabeza? Nenda Jakaya Kikwete ukajionee uwekezaji uliopo pale, itakusaidia kuona hali hali ilivyo.

Binafsi natambua yako maeneo serikali inahitaji kufanya jitihada zaidi kuyaimarisha. Hususani maswala ya haki za binadamu na demokrasia. Haya maeneo tunaweza kuwa na maoni tofauti lakini kwa mtazamo wa walio wengi hatujafanya vizuri sana.

Ni rai yangu kuwa October 29 tujitokeze kupiga kura, tuwachague wagombea wa CCM, ili tuwape kazi ya kwenda kutuletea mabadiliko kwenye mfumo wetu wa demokrasia na haki za binadamu kupitia katiba mpya kama walivyoahidi.
 
Upo msemo usemao kuishi kwingi ni kuona mengi. Pengine hili ndilo linalotoa tofauti kati ya baby boomers, generation X, millenials na Gen Z haswa inapokuja swala la kama Taifa, tumetoka wapi, wapi tulipo na tunaelekea wapi?
Ukisimama kwenye standi zetu kuu za mabasi leo, huoni watu wakishuka kwenye mabasi baada ya safari za siku mbili au tatu wakiwa wamejaa vumbi wao na mabegi yao.
Hadithi kama hizi zinaonekana za kufikirika, lakini zilikuwa ni hali halisi ya nchi yetu angalau kabla ya 2005. Kutoka Dar kwenda Mwanza ililazimu kuzungukia Nairobi kupitia Namanga na Silari, kutoka Mbeya Arusha ililazimu kuzungukia Chalinze. Tabora, Kigoma, Katavi na Rukwa hazikuwa zimeungwa katika mtandao wa barabara za rami. Wakati huo huo atu wa kusini hawajasahau adha ya kuvuka mto rufiji kwa mitumbwi kwa kukosekana daraja ambalo leo limeifanya mikoa ya kusini kuwepo kwenye mtandao wa barabara za rami.
Hali ya miundombinu ya jiji la Dar es salaam ilikuwa Mbaya sana. Safari yangu ya kwanza kwenda Dar, kipande cha Kibaha mpaka Ubungo tulitumia si chini ya saa tano kwasababu ya foleni isiyotembea. Leo hii Dar in fly overs, barabara za njia sita na barabara za mwendokasi karibu kila uelekeo!
Kwenye elimu, ule mkoa wa Mbeya, shule ya sekondali ya kutwa ilikuwa ni Mbeya sekondali pekee. Loleza na Iyunga zilikuwa za kitaifa. Kupata nafasi ya kuchaguliwa ilikuwa ni moja kwa mia. Leo ukienda kila kona watoto wamevaa uniforms wamependa wanaenda shule. Bado hatujasahau kejeli za hivi shule za kata zilipoanza, leo nani anabisha kuwa zimetoa wataalamu wa kila kada?
Hali ya umeme nchi hii ilikuwa ni mbaya sana. Mpaka katikati ya miji, nyumba zenye umeme zilichukuliwa kuwa ni za watu matajiri. Leo hii tunaongelea umeme vijijini kama jambo la kawaida kisha tunabeza serikali?
Sekta ya afya ilikuwa na changamoto kwelikweli. Nchi hii kipimo kama full blood picture ilikuwa ni anasa. Mpaka 2014 namaliza udaktari KCMC, machine za CT scan zilikuwa za kuhesabika. Huduma muhimu kama dialysis watu walizifuata Nairobi. Lakini leo hii nchi yetu imeingia kuwa kitovu cha medical tourism harafu tunabeza? Nenda Jakaya Kikwete ukajionee uwekezaji uliopo pale, itakusaidia kuona hali hali ilivyo.
Binafsi natambua yako maeneo serikali inahitaji kufanya jutihada zaidi kuyaimarisha. Hususani maswala ya haki za binadamu na demokrasia. Haya maeneo tunaweza kuwa na maoni tofauti lakini kwa mtazamo wa walio wengi hatujafanta vizuri sana.
Ni rai yangu kuwa October 29 tujitokeze kupiga kura, tuwachague wagombea wa CCM, ili tuwape kazi ya kwenda kutuletea mabadiliko kwenye mfumo wetu wa demokrasia na haki za binadamu kupitia katiba mpya kama walivyoahidi.
Na vipi kuhusu mambo ya ufisadi, yamefikia wapi? Tangu uhuru mpaka sasa, mbona hayo mambo uliyoyataja ni kiduchu sana ukilinganisha na resources zilizopo?

Kwa kasi hii au Kwa Mwendo huu wa kufanya hayo mambo, itaichukua nchi miaka mingine 100 kufikia uchumi wa daraja la kwanza. Muda huo, Kila mtu aliyepo hapa duniani ninapoandika post hii hata aliyezaliwa leo atakuwa yupo futi sita.
Sasa ni Kwa nini tusiharakishe kasi ya Maendeleo ya nchi yetu tuondokane na adha zilizobaki- madeni yaishe na tuwe self sufficient ktk Kila Nyanja , uchumi daraja la kwanza… Tunajenga nchi moja, wapinzani pia ni wa Tanzania wenzetu, sasa ya nini Chama kimoja ndio kinataka kuwa na monopoly ya uongozi hadi sasa? Hata wazazi ipo Siku hustaafu na huwaacha watoto wao kujitegemea. Na hao watoto hawawatengi wazazi wao. Huwasaidia ktk Siku zao za uzeeni mwao. Kwa ccm, ijifunze pia namna ya kuishi na watoto wake. Itatunzwa uzeeni.
 
Usiogope mikwara ya Nyumbu , hamna anaeandamana , Nyumbu unaweza kuziona zipo nyingi ukaziogopa kumbe hata mtoto wa miaka miwili anaweza kuzikimbiza zikatawanyika
 
Kwahiyo kisa wameleta maendeleo na hizo machine za FBP, MRI au JK ndio wapate mandate ya kuteka, kutesa na kuua raia wanao wakosoa?
Akili za wapi hizi?.
Karibia Trillion moja ya walipa kodi inapotea kwa huu uchaguzi wa kipumbavu halafu unatetea!.

Sio bure utakua ni mmoja wa walamba asali.
 
Kilichokufanya uongee yote haya ni nini!?
Kama ni maandamano, je yanayolalamikiwa mpaka watu watake kuandamana yanahusiana vp na haya uliyoyaandika hapa!?

Unasifia mradi x wa ml. 500 lakini huwakemei walioiba ml 200 kwenye mradi x!
Watu wanataka reforms ndio waende kwenye uchaguzi, wewe unaongelea hspt, madaraja, etc!
 
Upo msemo usemao kuishi kwingi ni kuona mengi. Pengine hili ndilo linalotoa tofauti kati ya baby boomers, generation X, millenials na Gen Z haswa inapokuja swala la kama Taifa, tumetoka wapi, wapi tulipo na tunaelekea wapi?
Ukisimama kwenye standi zetu kuu za mabasi leo, huoni watu wakishuka kwenye mabasi baada ya safari za siku mbili au tatu wakiwa wamejaa vumbi wao na mabegi yao.

Hadithi kama hizi zinaonekana za kufikirika, lakini zilikuwa ni hali halisi ya nchi yetu angalau kabla ya 2005. Kutoka Dar kwenda Mwanza ililazimu kuzungukia Nairobi kupitia Namanga na Silari, kutoka Mbeya Arusha ililazimu kuzungukia Chalinze. Tabora, Kigoma, Katavi na Rukwa hazikuwa zimeungwa katika mtandao wa barabara za rami. Wakati huo huo atu wa kusini hawajasahau adha ya kuvuka mto rufiji kwa mitumbwi kwa kukosekana daraja ambalo leo limeifanya mikoa ya kusini kuwepo kwenye mtandao wa barabara za rami.

Hali ya miundombinu ya jiji la Dar es salaam ilikuwa Mbaya sana. Safari yangu ya kwanza kwenda Dar, kipande cha Kibaha mpaka Ubungo tulitumia si chini ya saa tano kwasababu ya foleni isiyotembea. Leo hii Dar in fly overs, barabara za njia sita na barabara za mwendokasi karibu kila uelekeo!

Kwenye elimu, ule mkoa wa Mbeya, shule ya sekondali ya kutwa ilikuwa ni Mbeya sekondali pekee. Loleza na Iyunga zilikuwa za kitaifa. Kupata nafasi ya kuchaguliwa ilikuwa ni moja kwa mia. Leo ukienda kila kona watoto wamevaa uniforms wamependa wanaenda shule.

Bado hatujasahau kejeli za hivi shule za kata zilipoanza, leo nani anabisha kuwa zimetoa wataalamu wa kila kada?

Hali ya umeme nchi hii ilikuwa ni mbaya sana. Mpaka katikati ya miji, nyumba zenye umeme zilichukuliwa kuwa ni za watu matajiri. Leo hii tunaongelea umeme vijijini kama jambo la kawaida kisha tunabeza serikali?

Sekta ya afya ilikuwa na changamoto kwelikweli. Nchi hii kipimo kama full blood picture ilikuwa ni anasa. Mpaka 2014 namaliza udaktari KCMC, machine za CT scan zilikuwa za kuhesabika.

Huduma muhimu kama dialysis watu walizifuata Nairobi. Lakini leo hii nchi yetu imeingia kuwa kitovu cha medical tourism harafu tunabeza? Nenda Jakaya Kikwete ukajionee uwekezaji uliopo pale, itakusaidia kuona hali hali ilivyo.

Binafsi natambua yako maeneo serikali inahitaji kufanya jutihada zaidi kuyaimarisha. Hususani maswala ya haki za binadamu na demokrasia. Haya maeneo tunaweza kuwa na maoni tofauti lakini kwa mtazamo wa walio wengi hatujafanta vizuri sana.

Ni rai yangu kuwa October 29 tujitokeze kupiga kura, tuwachague wagombea wa CCM, ili tuwape kazi ya kwenda kutuletea mabadiliko kwenye mfumo wetu wa demokrasia na haki za binadamu kupitia katiba mpya kama walivyoahidi.
KAPIGE KURA WEWE NA UKOO WAKO UHALALISHE WAHUNI KUIBA PESA ZA UMMA.

KAPIGE KURA FAMILIA ZA WANAUME WENZIO WAPATE KULA.
 
Huo ndiyo ukweli lakini watu hawataki kuusikia. Sijui wanadhani CHADEMA ya Lissu ikija itawawekea hela mfukoni?
 
...Maelezo Meengi, lakini Kwa Kifupi, CHAWA ! 😏😏
Octoba 29 tunatoka... !! 🌹🌹
 
Hili neno chawa sasa linatumiwa vibaya! Mwanamageuzi wa harakati za kupigania demokrasia hana uvumilivu kwa watu wenye mawazo tofauti. Nakushauri jifunze kuzikabili hoja zenye mwelekeo tofauti na wako bila kutweza watu kwa kuwaita chawa
 
Back
Top Bottom