Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kijiji cha Mji Mwema wilayani Siha kimewaka kwa hamasa baada ya wananchi kuwasha taa za Dkt. Samia mara baada ya kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura...
3 Reactions
9 Replies
392 Views
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya makarani watakaotoa taarifa za uchaguzi na kuwataka kusimamia viapo vya utunzaji wa siri katika kipindi chote cha uchaguzi. Onyo hilo limetolewa na...
1 Reactions
8 Replies
315 Views
Huyu alikua kinara yeye pamoja na sativa kuhamasisha maanadamano, dakika zajioni kabisa ametema bungo. Namna gani pale!
5 Reactions
37 Replies
853 Views
Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi...
1 Reactions
5 Replies
332 Views
Pamoja na kutumwa, ni dhahiri unaonesha chuki binafsi na Lissu! Kwanini unakuwa hivyo? Alikukosea nini? Kuna siku ya Mungu utajibu mbele yake na hao wanaokutuma hawatakuwepo.
14 Reactions
20 Replies
986 Views
Mgombea Urais wa Chama cha AAFP, Kunje Ngombale Mwiru, amesema amechoka na simu za vitisho na amepanga kuvunja kampeni, "endeleeni na Chifu Hangaya wenu, niuwe leo, wewe utakufa kesho", alisema...
20 Reactions
56 Replies
2K Views
“Kila mtu akapige kura ili tumpate tunayemtaka; tusiwekewe tusiyemtaka. Kwa sababu kuchagua kiongozi anayefaa huo ni mchango wa kusaidia kuleta wema na kufanya wema. Akiwepo ambaye hapendwi...
1 Reactions
5 Replies
296 Views
Angefanya yafuatayo angekuwa ni shujaa, level za kina Mandela lakini ndo hivyo tena 1. Kwanza hakutakiwa kugombea kwa muhula wa pili. Muhula wa kwanza ulikuwa unamtosha. Ingemjengea hesima kubwa...
4 Reactions
5 Replies
262 Views
Nakumbuka enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi. Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa...
13 Reactions
77 Replies
3K Views
Heche Amepatikana, yupo polisi Mtumba Dodoma... His strategy worked, aligoma kabisa kula chakula chao. Walijaribu kumshawishi kwa kumuagiza one of their juniors kula akagoma kabisa, na inaelekea...
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Wanaukumbi. CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI .. Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi. Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika. Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta Kumbuka wamiliki wa sheli ndio...
19 Reactions
47 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewasihi wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaotaka katika uchaguzi mkuu. Makonda...
2 Reactions
22 Replies
939 Views
Kumekuwa na utaratibu wa kila siku ya mechi kubwa dakika chache kabla ya mechi kuanza mnaweka hotuba ya mgombea wa CCM au machawa wake ikiambatana na ahadi kibao ambazo kiuhalisia ni kampeni! Hii...
1 Reactions
20 Replies
835 Views
Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama...
11 Reactions
106 Replies
4K Views
Kitambo sana niliwahi kusema haya:- 2022 to be exact.... https://www.jamiiforums.com/threads/operesheni-piga-chini.2011562/ Lakini come 2025 hakuna cha mgombea Binafsi wala choices za wengi...
2 Reactions
3 Replies
241 Views
Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si...
15 Reactions
78 Replies
3K Views
Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) na UDSM wameendelea kumenyana kuelekea uchaguzi Mkuu. Baada ya UDSM kutoka na tamko linalopinga tamko la UDASA, ambapo pamoja na...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora. Lengo la matembezi hayo ni...
1 Reactions
17 Replies
529 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…