Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa miaka mingi sasa kwenye haya majukwaa ya majadiliano [discussion forums] nimekuwa nikisema kwamba bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi, kuiondoa madarakani CCM kupitia chaguzi, haiwezekani...
16 Reactions
29 Replies
963 Views
Tumekataa kitu tunacho kiita kutunuku ufisadi tunataka vijana jeuri wenye nguvu na mashujaa tuikomboe nchi yetu tutakinikusha. tunataka nchi yetu
2 Reactions
9 Replies
322 Views
Idara ya ulinzi tutegemee IGP na Mkuu wa majeshi kutoka pande mbili Baraza la mawaziri tutegemee 30% wawe wazazinibari Wakuu wa mashirika tutegemee wazazibar 30% au zaidi kuteuliwa kupewa majukumu
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Rais Samia kalalamima eti watu kuandamana na kuchoma Mali za Umma na Binafsi sio Utanzania. Namuuliza yeye kuwaambia Watanzania mambo yya Nywinywinywi ni Utanzania? Kwanzza Asilimia kubwa ya...
1 Reactions
3 Replies
180 Views
Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga kuwa mauaji yote yaliyofanyika hayana fingerprints zake, but men….we shouldn’t be fooled. Huyu ni wa kwenda naye...
12 Reactions
15 Replies
755 Views
Moja ya jambo aloingizwa Mkenge Hayati Magufuli akaja kushtuka Mwishooooni kabisa akiwa amechelewa ni Masuala ya Utekaji na Watu kuokotwa Ndani ya Viroba, kutowadhibiti walojaribu Kumuua TUNDU...
3 Reactions
2 Replies
168 Views
Kwa wale mtakao muelewa https://youtu.be/nmHhRISi7nA?si=zet3X4o3liW_3HHo
1 Reactions
0 Replies
117 Views
Waliomwaga damu za watanzania mmelaaniwa Rasmi na hakika mtalipa gharama kubwa. Damu za watanzania mbele ya Mungu ni damu yenye thamani kubwa kwa hiyo mtalipa kuanzia hapa...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao. Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela...
5 Reactions
6 Replies
301 Views
Kama anathubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia...
4 Reactions
16 Replies
715 Views
Wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba...
1 Reactions
5 Replies
356 Views
Hii sio Tanzania ya 1990 !. Tanzania Mpya imezaliwa Tarehe 29/10/2025, Kinachoendelea na kitakachoendelea na Mchakato wa makuzi ya mtoto!!. Sasa , Uzi Huu ni Ushauri na Ukumbusho na Onyo Kwa...
3 Reactions
6 Replies
267 Views
Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi. Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua...
1 Reactions
11 Replies
594 Views
We are watching developments in Tanzania, with alarm and misgivings. The violence against the demonstrators is unacceptable. After the authoritarian regime of your predecessor President Magufuli...
4 Reactions
1 Replies
336 Views
Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya...
18 Reactions
121 Replies
6K Views
Watu wanatekwa sana na kuuwawa mbona hatusikii Mkunda akikemea ? jeshi lile sio la Mkunda wala Samia ni la wananchi Jeshi ni la wananchi sio Mkunda wala nani, ni jeshi letu sisi wananchi wakina...
5 Reactions
5 Replies
252 Views
Kama unafikiri tujivunie huu uchaguzi wa 2025 tueleze sababu!
1 Reactions
1 Replies
112 Views
Ukiangalia kwa kina JWTZ ilikaa kimya Mgunda hakuwai kuongea chochote wakati watu wanatekwa wakina Soka, Mdude, Kibao na Wengine wakina Polepole lakini ghafla katoka kuja Kukemea maandamano shame...
5 Reactions
8 Replies
380 Views
Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
2 Reactions
12 Replies
688 Views
Licha ya kubeba vitambulisho vyao vya uangalizi, waangalizi wetu waliokuwa Mjini Tanga walikabiliwa na mahojiano makali kutoka kwa vyombo vya usalama, nyaraka zao rasmi zikiwemo pasipoti...
4 Reactions
1 Replies
266 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…