Taarifa kutoka Kigoma zinazai dalali wa siasa, Zitto Kabwe aliwekwa mahabusu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi mkuu kwa kuleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi.
Inadaiwa aliposhindwa kulinda...
Barua ya Wazi
Na: Mteule G. Kahangile
Musoma, MARA TZ
10 Novemba 2025
KWA:
* VIONGOZI WA SERIKALI,
* VIONGOZI WA VYAMA VYOTE VYA SIASA,
* VIONGOZI WA DINI ZOTE.
Ndugu Viongozi,
YAH: WITO WA...
Wazalendo,
Ukombozi wa nchi yetu unakaribia.
Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi...
Katika siasa za kisasa kuna chombo muhimu sana cha kusambaza ujumbe kupitia mitandao ya kijamii
Katika nchi nyingi imeshazoeleka ni wanaume wanakuwa na utawala mkubwa katika vyombo hivi
Lakini...
Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane.
Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao.
Soon ukombozi utapatikana by any means...
Naomba nikemee vikali watu wanaojaribu kuhukumu dini au kabila au jinsia ya mtu badala ya mtu binafsi.
Kila kundi halikosi watu wasiowaminifu. Kila kundi halikosi wahuni. Kila kundi halikosi watu...
Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM.
Ukiwasikia...
Kuna watu unaoweza kuwaita wadini na maadui wa taifa wanaodhani kuwa rais Samia anachukiwa hasa anaposhauriwa au kukosolewa au kutopongezwa, kuabudiwa, na kuhadaiwa anapendwa.
Hawa ambao naweza...
Ni ajabu, lakini si geni, kwamba dunia ya leo imejaa watu wanaotaka heshima bila toba, madaraka bila maadili, na sifa bila uhalali. Kila siku tunashuhudia wenye dhambi zao wale walioua kwa mikono...
1. Uanachama wa Tanzania katika ICC
Ni kweli kwamba Tanzania ni mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), kwa kuwa ilisaini na kuridhia Mkataba wa Roma (Rome Statute) mwaka 2002...
Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo...
Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa...
Pepo wachafu wakiwa ndani ya mtu jambo kubwa na la kwanza kabisa ni kumvuruga akili.
Mtu mwenye Pepo wachafu hajui ashike lipi, aanze lipi au amalizie lipi. Umemaliza chuo hujui uanze lipi na...
Humphrey kwenye wasilisho lake la mwisho alisema kuna wazee wameshanunuliwa na wameuza utu na heshima Yao kwa shetani
Alisema wanajiandaa kwa maridhiano feki na akasema atarudi tena kufafanua...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, amelaani vikali vifo vya wananchi waliouawa kwa risasi wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini, akisema kuwa hakuna...
Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi.
============
Ndugu,
Watanzania Wote,
Mabibi na Mabwana...
Gen z walifanikiwa 100% kuzuia uchaguzi wa October 29 shughuli zote zilisimama kilicho fanyika watu wakajitangaza bila uchaguzi kuwa wameshinda
Utakapo angalia mazingira yalivyokuwa katika...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeeleza huzuni na masikitiko makubwa kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani, mauaji ya wananchi, na uharibifu wa mali yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi...