Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi Wakati wa Uchaguzi...
30 Reactions
64 Replies
3K Views
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa...
23 Reactions
421 Replies
16K Views
Hii ndiyo orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Tanzania imekuwa na jumla ya Mawaziri Wakuu 12 hadi sasa, na hii leo, Novemba 13, 2025...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Mtikila alijulikana alivyowatikisa watawala akiwamo Nyerere mwenyewe. Je, ahgekuwa hai, kweli haya mambo yangefanyika au kuishia hivi?
0 Reactions
8 Replies
355 Views
Mficha maradhi kifo humuumbua. Huu ndio ukweli ulioniongoza kuandika tafakuri hii kuhusu October 29 angalau tujifunze jambo la kutusaidia baadaye. Nini kilitokea October 29, hautakuwa mjadala...
2 Reactions
65 Replies
2K Views
Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._ Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa...
0 Reactions
9 Replies
471 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje...
6 Reactions
4 Replies
477 Views
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
4 Reactions
18 Replies
818 Views
Story ya Kijiweni: “No Reform No Election ni Scam ya Kisiasa” Basi bwana, tulikuwa tumekaa pale kwa Mangi—mahali pa mishikaki na siasa. Unajua sehemu kama ile ukikaa dakika tano tu, lazima...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwamba hawezi kulazimisha. "Nitamjibu nini Mwenyazi Mungu? Nashangaa wanaombembeleza asisuse. Tulishahada nasusahada(Ukisusa wenzio Twala).. Ulivyotukututa ndivyo utatuacha. Kawasalimie...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Hivyo ndivyo Makonda alivyo.. Hana huo uzalendo wa hivyo. Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari.. Kwa ufupi tu Makonda ni katili...
11 Reactions
26 Replies
863 Views
Huyo bwana anaye jiita sheikh rusaganya mara nyingi amaekuwa na kauli za wazi za kichochezi wa kidini na ni zawazi kabisa ambazo isinge kuwa busara na hekima za wakristo basi huenda pangeanza...
1 Reactions
4 Replies
223 Views
Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote? Emanuel...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Mnahangaika na matokeo badala ya kushughulika na na walio sababisha hali hii itokee ,huo ni ujinga,wahalifu wa kwanza kabisa ni serikali na jeshi la polisi hao ndio waanzilishi wa machafuko...
2 Reactions
1 Replies
161 Views
"Serikali kushindwa kutimiza baadhi ya ahadi wanazoziahidi kwa wananchi yatajwa kuwa huenda ikawa ni moja ya sababu iliyopelekea wananchi kuandamana siku ya Oktoba 29" na Tatizo serikali...
2 Reactions
3 Replies
295 Views
Kwa kilotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa raisi na wabnge nchini Tanzania, Tasnia ya habari imezidi kujikuta ikigubikwa na ujinga, ukosefu wa maadili, uhaini na kutokujielewa...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu. Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu...
4 Reactions
6 Replies
465 Views
Si wao, si watoto wao Wala jamaa yao yeyote aliyepata hata vumbi siku ya maandamano ya vurugu ya tarehe 29.10.2025. Wote wako salama kabisa licha ghasia zote zile. Binafsi nawapongeza sana, bila...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…