Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni nani huyu? Zanzibar alienda kufanya nini? Kwani hakupiga kura? Au ndio resource mobilization? Alisema anaona mitandaoni kuhusu habari ya D09, na kama ikitokea waachiwe wao (kijana) wadili na...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Balozi za nchi za Nordic zimetuma jumbe tofauti kwenye kurasa zao za Instagram kuhusu mauaji yaliyofanyika katika uchaguzi wa tarehe 29. Ubalozi wa Finland unatoa rambirambi zake za dhati kwa...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Kwenye Jicho langu la Rohoni, Mungu kanionyesha Maandamano makubwa ya Watu misili ya Mchanga wa Bahari !!. Ule Wingi wa watu umetengeneza Ukuta wa Ulinzi kiasi kwamba Hamna Pepo CHAFU ya...
7 Reactions
15 Replies
790 Views
Binafsi nimeanza kupata hisia tofauti juu ya ukimya wa mkuu wa majeshi nchini afande, chief of defense forces Jacob john MKUNDA licha ya clip yake ya jana. Vipi maoni yenu wakuu?
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position...
64 Reactions
104 Replies
10K Views
TAARIFA KWA UMMA Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na...
0 Reactions
10 Replies
631 Views
Wakati mauaji ya Tiananmen ya Juni 4, 1989, yalipokuwa yakitokea nchini China, nilikuwa Darasa la Sita katika Shule ya Msingi ya Kigoma. Sikuiona kwenye TV kama wengine kwa sababu hatukuwa na TV...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Tumetegemea sana vijana na wakaimu kuyarithi madaraka kwa kufuata taratibu na sheria zote, Je wanaotegemewa wanaweza kazi za mabosi wao? Kwa bahati isiyo nzuri Madaraka yenyewe ndo yanawaendesha...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Rais Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla. Ni barua...
28 Reactions
69 Replies
4K Views
Dodoma, 13 Novemba, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea taarifa kuhusu kifo cha cha Ndugu Anthony Peter Choma aliyekuwa mgombea wa Udiwani katika Kata ya Malangali kupitia Chama Cha...
1 Reactions
6 Replies
270 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa uhalali wa hati ya kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer na wenzake 21, Novemba 25, 2025...
2 Reactions
5 Replies
389 Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na Siasa kwa lengo la kupotosha Umma na kuzua taharuki...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwenye IG ya Polisi Tanzania wanaposti hotuba za waziri mkuu mteule Mwingulu Nchemba kwa misingi ipi? Mbona wanaleta mambo ya Polisiccm na siasa za uchawa. Yani tumeshindwa kuelewa Basi kama...
0 Reactions
8 Replies
406 Views
Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa...
2 Reactions
14 Replies
632 Views
Huyu dada nimependa Simulizi zake. Sijamtaja jina sababu simjui ila aliyoyaongea 50% nilishawahi kusimuliwa. Je, ni kweli ili uwe Mbunge wa CCM Kilwa lazima uue mpinzani wako? Watu wa Kilwa...
3 Reactions
3 Replies
569 Views
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini? BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala? Nchi...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila mtu binafsi, shirika, na mwanajamii aliyesimama nasi wakati huu mgumu sana. Usaidizi wenu usioyumba, huruma, na juhudi zenu zisizochoka ziliwapa nguvu...
4 Reactions
7 Replies
404 Views
Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini, Wakili Samwel Welwel maeneo ya Kibaoni Arusha, akiwa anaelekea kijijini kwao Karatu. Amepelekwa...
1 Reactions
8 Replies
527 Views
Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
83 Reactions
329 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…