Nimekuwa najiuliza sana sipati jibu, kwanini January Makamba aliamua kumuuliza Mzee Butiku swali la kijinga hivyo? Eti kwanini serikali ya awamu ya kwanza haikujenga shule nyingi za sekondari...
Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention.
Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali.
Tarehe 9 .12...
Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Wanabodi,
Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao.
Wahusika wanapaswa kuwa macho na...
Ndugu zangu naendelea Kuwakumbusha, Kila Mmoja anao wajibu, DEC 9 asionekane MTU kubakia nyuma.
Ni kwanini Ubaki wakati Umeuliwa Dada,Kaka ,Mama, Mjomba, Baba, Mpenzi ,Mume ,mtoto, Babu??? Kwann...
Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano!
Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu...
Kuna vitu vinachekesha sana..!! 😹😹😹
Hivi lengo la waarabu na wamisionari kuleta dini Africa ilikuwa ni nini?
Sheikh, Sharifu Majini (GTH)
Sheikh Jongo
Masheikh wa Bakatwa
Sheikh Mwaipopo...
Ameandika Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche;
Huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe… Uchunguzi wa Kimataifa kutoka chombo huru ndio unaweza kuaminika na Watanzania...
Mwalimu katika speech yake ya mwaka 1970 uko New York akiongea na Maryknoll Sisters' Confeerence anasema.
"My purpose today is to suggest to you that the church should accept that the development...
Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea...
Gen Z
Tunasema kama jinsi ulivyoyakataa maagizo ya taasisi mbalimbali za kimataifa kuhusu uchaguzi. Na sisi kama vijana tunasema tumekusikia lakini maombi yako tumeyakataa.
https://youtu.be/QwY9OsUGVY0?si=P-Q3GDkwdHg6GDe3
👉🏻Idhaa ya Kiswahili ya BBC imefanya uchunguzi wake wa awali na kuthibitisha pasipo shaka kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania polisi viliua...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa...
Sheikh Jongo: Wale wasiotutakia wema katika nchi yetu bado wanaendelea na bidii zao kufanya nchi isikalike lakini pia Tunaambiwa wajinga tunapopigania amani iendelee ”
Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule...
PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...?
Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa...
GT
Msitake kujua ni kwanini. Lakini siku mkifunguliwa macho kama mimi mtashangaa.
Kutokana na hilo Tanzania ipo hatarini kuendelea kuwa maskini na kushindwa kupiga hatua kiuchumi.
Kingine...