Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa...
-1 Reactions
25 Replies
797 Views
Hili swala nilitaka kuliongelea mda mrefu sana hasa kwenye swala la mbunge wa babati alichomfanyia kijakazi wake nikaghairi Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public...
13 Reactions
46 Replies
1K Views
Ki msingi naona Kuna a well calculated plan. Huwenda siku hiyo asiwepo kabisa hapa TANGANYIKA na kuwaacha watanganyika waone lipi Bora la kufanya huku akimwaga amri kutokea nchi nyingine...
2 Reactions
4 Replies
309 Views
Tumekataaaa. Mahitaji ya Vijana ni hayo yalowafanya Waandamane na Wataendele kuandamana.
9 Reactions
15 Replies
391 Views
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29...
3 Reactions
29 Replies
769 Views
Yaan Matukio ya Utekaji na Mauaji yametokea mengi kabla ya Oktoba 29. Ujifanye kuja kutoa pole za walouliwa Oktoba 29?. Mh Polepole umemteka . Mzee Kibao alouliwa, ukajifanya Tume ya...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Hili ni gumu kuliko yote. Kuna watu wameanza kumharibia Mama wakati ana uwezo wa kujiharibia. Wanazuia miili ya waliokufa isitolewe, wanazuia takwimu za waliopotea zisijulikane. Wanatisha...
3 Reactions
4 Replies
239 Views
Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na...
2 Reactions
0 Replies
181 Views
Mapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote. Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa...
12 Reactions
45 Replies
928 Views
Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI...
1 Reactions
3 Replies
275 Views
Wakuu, Kuhusu maandamano ya MO29 huyu wa kuitwa Baba Lebo kampongeza Samia "Kuna watu walileta machafuko lkwenye nchi yetu, walileta vurugu kwenye nchi yetu na akachungulia, kuna baadhi ya...
0 Reactions
13 Replies
431 Views
Nimesikia kauli ya Samia, ambaye alijitangaza urais kwa nguvu, halafu anatukebehi kutoa pole kwa "tukio" yaani sijaona mtu mbumbumbu kama Samia na her cabal, wametuteka, kutesa, kubaka, kulawiti...
2 Reactions
1 Replies
226 Views
  • Closed
Mama hauwi watoto wake, bali huwakumbatia na kuwalinda. Hata vitabu vya dini vinasema, Mtoto wako akiomba mkate huwezi kumpa jiwe. Hata sisi tuliomba haki hatukustahili kupewa vifo, vilema na...
21 Reactions
85 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza sana sipati jibu, kwanini January Makamba aliamua kumuuliza Mzee Butiku swali la kijinga hivyo? Eti kwanini serikali ya awamu ya kwanza haikujenga shule nyingi za sekondari...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amezungumza kupitia BBC baada ya hotuba ya Rais Samia akifungua Bunge la 13.
5 Reactions
10 Replies
660 Views
Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention. Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali. Tarehe 9 .12...
1 Reactions
11 Replies
480 Views
Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
1 Reactions
113 Replies
2K Views
  • Closed
DeletedMember281674
Wanabodi, Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao. Wahusika wanapaswa kuwa macho na...
0 Reactions
4 Replies
195 Views
Ndugu zangu naendelea Kuwakumbusha, Kila Mmoja anao wajibu, DEC 9 asionekane MTU kubakia nyuma. Ni kwanini Ubaki wakati Umeuliwa Dada,Kaka ,Mama, Mjomba, Baba, Mpenzi ,Mume ,mtoto, Babu??? Kwann...
2 Reactions
10 Replies
296 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…