Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna muandishi wa habari Rwanda ambaye makazi yake ni Marekani kaandika kwenye Twitter yake kwamba kapenyezewa habari na watu wake wa karibu waliopo ndani ya jeshi la Rwanda kwamba Kuna...
50 Reactions
217 Replies
9K Views
Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake...
13 Reactions
101 Replies
9K Views
Tangu atekwe na kupotezwa, Humphrey Polepole ameanza kusahaulika. Kaka yake alitufunga kamba kuwa ana chip. Je imeishia wapi au alikuwa akitishia?
0 Reactions
5 Replies
208 Views
Kutokana Na mabadiliko ya SIASA zetu na Muungano unavyokwenda ni wazi kabisa tunatakiwa tusimame pamoja wananchi wote Tanzania bara kuirudisha Tanganyika. Muundo wa Sasa inaonyesha ni jinsi gani...
3 Reactions
8 Replies
439 Views
Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanu mbona kama anajitetea sana! Ety anazijuwa shida maana urais wenyewe ni wameupata jana tu =============== Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa...
2 Reactions
11 Replies
768 Views
Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Baraza la wapi? Lifanye nini? Limfanyie nani?
8 Reactions
28 Replies
860 Views
Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo. Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98%...
4 Reactions
8 Replies
435 Views
Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27...
5 Reactions
187 Replies
10K Views
Novemba 2, 2025 Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) imepokea taarifa ya utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 29, 2025, na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania na Tume ya...
5 Reactions
4 Replies
420 Views
Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi. Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu...
33 Reactions
91 Replies
3K Views
Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa?? Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kutu tukana wataanzania. Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani iliyofanya vitu kama hivi vya matusi, kuna watu wamejimilikisha hii nchi hatutakubali.
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo si za Muungano ni zile ambazo ziko chini ya Serikali ya Zanzibar na hazihusiani moja kwa moja na masuala ya Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar...
1 Reactions
5 Replies
533 Views
Bado haijulikani kitajadiliwa kitu gani lakini najuzwa ni hayahaya ya kuzamisha majini manuwari ya mtandao. Najuzwa kabla ya 912 kuna tukio la ajabu la kimafia linasukwa sijui kwa kweli. Jambo...
13 Reactions
56 Replies
3K Views
Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na...
2 Reactions
8 Replies
344 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Waathirika wa serikali haramu fanya kweli kama ilivyotokea Kenya mwaka 2002 tuizike CCM. Wakati muafaka ndo huu.
2 Reactions
27 Replies
741 Views
Hili Halina cha Saliatume , Wala Cha MARIDHIANO. Yoyote alohusika Kuwaua Watanzania Atafikiwa tu !!. Uzuri sisi tumeshaziea Misiba na Maumivu , sisi ni watoto wa Mafukara, Hapa Duniani hatuna...
1 Reactions
13 Replies
477 Views
Baada ya hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati...
1 Reactions
17 Replies
633 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…