Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Inasemekana Mwandishi wa Millard Ayo, Godfrey Thomas aliyekamatwa Arusha, chanzo ni video ambayo inaonekana mama amepigwa risasi, na binti akawa anamwambia mama amka, yule ambaye CNN...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Au makali ya uchaguzi ndiyo yanaanza. Kulikoni?
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa...
3 Reactions
5 Replies
243 Views
Kutokana na ongezeko la kukamatwa na kutekwa kwa wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema, chama kinawakumbusha wananchi wote kutambua haki zao za kikatiba na kisheria wanapokabiliana na Jeshi...
4 Reactions
4 Replies
295 Views
Yeye mwenyewe kwenye press conference anajiona anatema point. Yani yuko shallow vibaya hana uwezo wa kujenga hoja yani bonge la kilaza. Muone na msikilize hapo chini.
5 Reactions
8 Replies
306 Views
Muda wa watanzania kuamka tayari umeshafika. Hizi porojo haziwezi kufanya kazi. Kamwambie boss wako "hauwezi kuzuia uharisho kwa kujichomeka kidole mqunduni"
1 Reactions
0 Replies
69 Views
Hapa Instagram anatumia jina la #strong_icome jina lake halisi Anaitwa Ruthmelda Silaa, baada ya kutekwa ndugu zake walizunguka vituo vyote hawakumuona pia jeshi la polisi lilikana kumshikilia...
3 Reactions
12 Replies
669 Views
Ubinafsi na roho mbaya ndivyo zilivyo, hao CNN wangepongeza ukuaji wa uchumi au wangepongeza utawala wa Samia yani ingekuwa ndio hashtag ya Msigwa na Samia, wala tusingezisikia habari za AI wala...
0 Reactions
2 Replies
206 Views
Thank you for playing your part. But dictators do not give a damn to words. They need actions! This mass killings of innocent people should not go unpunished. You need to go a step further!
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, ameshangazwa na kile anachoeleza kuwa ni matumizi makubwa ya nguvu, including kuua watu, yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa Tanzania kwa lengo la...
1 Reactions
1 Replies
182 Views
Baada ya ushindi wa kishindo tofauti na chaguzi zilizopita, siwaoni wana CCM wakisherehekea ushindi wala simuoni Mkiti wao akizunguka mikoani kuwashukuru wana CCM na wapigakura. Ni yeye tu na...
2 Reactions
4 Replies
434 Views
Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki. ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye...
5 Reactions
15 Replies
533 Views
Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa)...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X. Ambapo...
9 Reactions
98 Replies
6K Views
Kanisa la Moravian Tanzania limetoa tamko kuhusu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, likiungana na Watanzania kutafakari na kusisitiza umuhimu wa amani, haki...
1 Reactions
3 Replies
265 Views
Ikumbukwe siku ya jana msemaji wa serikali alisema wananchi waende kuchukua miili polisi na sio sehemu husika ya kuchukua wapendwa wao, hali iliyozua mjadala mkubwa kwa wananchi. Kuna wananchi...
2 Reactions
3 Replies
285 Views
BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi. Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana...
5 Reactions
10 Replies
661 Views
Tanzania imeingia zama mpya. Na zama mpya zinahitaji mitazamo mipya. Hili nililisema humu ndani kama siyo October 27 basi 28. Tutahitaji kufanya resistance ya kila namna dhidi ya udhalimu...
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Hata watu hatujamaliza wengine arobaini ya Marehem wetu waliotangulia mbele ya Haki, umekaa ulaya unawaambia watanzania waandamane ? Huyu mtu ni mzima? Kiakili? Watanzania siku ambayo mtashutka...
4 Reactions
129 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…