Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana...
Kwa hivi sasa nchini hakuna mwanasiasa anayekubalika, kueleweka na kupendwa kama Lissu.
Hii ni kwa sababu Lissu ni mkweli, anamaanisha mabadiliko, hana uchu wala tamaa ya vyeo na mali bali ana...
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza...
Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka.
Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola...
Kwanini tunaimba mshikamano na umoja,kwanini tuna tekeleza Operation ya NO REFORMS,NO ELECTION, kwa sababu tumechoshwa na ghiliba ya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi kwa zaidi ya miongo...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata...
Taratibu injili ya NO REFORMS, NO ELECTION inaanza kuwaingia hata waliokuwa na mioyo migumu kama chuma ndani ya CCM...
Huyu hapa kwenye video hii ni Mbunge wa CCM jimbo la Mlimba, wilaya ya...
Mchakamchaka wa kuomba kuteuliwa Kugombea Ubunge katika Jimbo la Kigamboni Jijini Dar es salaam zimeanza kupamba moto ambapo leo Katibu wa Idara ya Mambo ya nje ya chama cha Act-Wazalendo Wakili...
"Tusipotoshe umma kutaka kutekeleza jambo ambalo tunajua hata wale wanaopendekeza hawajatekeleza wajibu wao. Utaratibu wa utunzi wa sheria unasema mtu binafsi, Mbunge au Wizara yenye dhamana...
Mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar Es salaam inatarajiwa Mei 22, 2025 saa mbili asubuhi mbele ya Jaji Obadia Bwegoge anatarajiwa kusikiliza Waasisi wa chama cha siasa cha Independent...
Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU
Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam...
Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan.
Kupata matukio na taarifa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto amesikitishwa na taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ya kudai...
Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa kauli aliyoitoa katika hotuba ya maadhimisho ya Muungano kuhusu uchaguzi huru...
Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika...
Katibu mkuu wa CHADEMA aonyesha ushahidi Kwa Ulimwengu kuwa Polisi waliwakamata zaidi ya watu 20 na kisha kuwaondoa maeneo ya Kisutu kisha kuwatelekeza sehemu za Coco Beach, Ununio, Mabwepande...
"Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika...
"Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na...
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.