Kuna kauli moja imeibuka baada ya kilichotokea kipindi cha uchaguzi: “Tutalinda amani kwa gharama yoyote.” Imeanza kutumika kama wito wa wajibu wa kitaifa wa kuhakikisha nchi haianguki kwenye...
Askofu popote ulipo naamini uko salama
Sisi Watanzania tunasubiri uje utoe ushauri wako wa mwisho kabla ya kufika Dec 9 kama ulivyo fanya kabla ya tarehe 29 October
Watakao puuzia ushauri wako...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa...
Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap.
Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora.
Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea...
Ikiwezekana balozi zote za Tanzania huko ulaya zifungwe na mabalozi wote wafurushwe na kurudishwa Tanzania.
Viongozi wote waliopo kwenye serikali hii wasikanyage nchi yoyote ya ulaya.
Mmarekani...
Ukimsikia mwana CCM yeyote akikwambia kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya halina mamlaka ya kutujadili au kutuambiwa chochote muangalie tu kwa kumsikitikia alafu mwambie kuwa, Bila Umoja wa Ulaya na Nchi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche amewatembelea jana Novemba 29, 2025 kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea. Lengo la ziara hiyo, amesema, lilikuwa kuwapa moyo na...
Tunaanza .
Mali🇲🇱. August 18 2020 na 24 may 2021(counter Coup)
Chad🇹🇩. April 2021
Guinea🇬🇳. September 5 2021.
Sudan🇵🇸.25 October 2021.
Burkina Faso🇧🇫.23 January 2022 na September 30 2022(counter...
"Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa...
Tanganyika inalia na mimi ninalia najua wengi kama mimi wanalia,matokeo yake waliojipa dhamana ya uongozi wanajijali wao siyo Tanganyika,na hawapendi wakuone unaililia Tanganyika, naamini Polepole...
Wakuu,
Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo!
Unaenda...
Wakuu.
Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea...
Wakuu,
Tunavyoijua Serikali yetu inayoongozwa na mama wa mipasho anayetuchamba kila mara akiona ukosoaji unazidi, kama wangekuwa na ushahidi hata wa mtu mmoja tu kulipwa "Kufanya vurugu" katika...
Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia.
Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na...