PostGE2025 Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya! Nani kawaambia zitakuwa Vurugu na sio Maandamano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,959
Reaction score
8,130
Wakuu,

Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo!

Unaenda kukamata mtu eti anahamasisha vurugu Disemba 9, hapo mtu kasema nitashiriki maandamano au kuwaambia wengine waandae mabango! Kwa katiba ipi wazee? Hata mnachosha vichwa vyetu kujadili maya mambo!

Yaani kila siku mnaingiza hili kwenye vichwa vya watu ili siku ikifika, muweke wahuni wenu tena, wachome na kuharibu vitu, wauwe watu ili mje kujustify kuwa yalikuwa ya vurugu, kwa mara ya pili mjaribu kuget away with it?!

Mnazidi kuwadharau Watanzania na kuchukulia poa uwezo wao wa kufikiri, yaani mnarudia makosa yaleyale, huku vijana wakiwa wamejifunza kutokana na experience yao ya kwanza! Yaani unashindwa hata kuwonder, kwani huko Serikalini na Jeshi la Polisi KUMEJAA WAJINGA? HAKUNA HATA MMOJA MWENYE AKILI akawatoa kwenye hii chain ya upumbavu?

WAtanzania wa leo sio wa jana, hili nalo litakuja kubackfire!
 
Unaongelea Serikali kufanya wakati kuna watu wanajipa wenyewe jina baya wakidhani ndio wanasaidia - tukiwaambia wanatuita tunauza Uoga...

Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo!
Wao ndio wanaotuma watu kuanzisha vurugu hususani green guards kwenye vazi la polisi ndio waanzilishi wakubwa wa vurugu.. kwani hujaelewa nini hapo?
 
Kama mnaona wanarudia makosa, si ndo ahueni kwenu mtakaotokaa? Huruma ya nini sasa si ndo mafanikio yako?

Waache waziendeleze mbinu zao na nyie mtumie za kwenu! MALALAMIKO YA NINI? HUO UPENDO WA GHAFLA UMETOKA WAPI? Mmeamua kuharibu haribuni, na wenye mamlaka ya kuzuia uharibifu watafanya majukumu yao..OVER!
 
Wanatapatapa hawaoni pa kutokea... usiku hawalali na hawataki kupambazuke, wanaona siku zinakimbia sana... malkia na mawaziri wake wanajamba jamba ovyo tu, matamko, kujitetea kwingi ujinga ujinga tu... Fujo vurugu watazileta wao na ole wao! Dunia inatuangalia, Disemba 9 liwake, inyeshe, kutoka ni lazima.
 
Kuhamasisha maandamano ni vurugu? ni kosa? Waanze kupunguza ujinga sasa, wameona ile mikwara yao ya "mazoezi ya pamoja ya vyombo vya ulinzi" imefeli sasa wanatapatapa tu
 
Wakuu,

Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo!

Unaenda kukamata mtu eti anahamasisha vurugu Disemba 9, hapo mtu kasema nitashiriki maandamano au kuwaambia wengine waandae mabango! Kwa katiba ipi wazee? Hata mnachosha vichwa vyetu kujadili maya mambo!

Yaani kila siku mnaingiza hili kwenye vichwa vya watu ili siku ikifika, muweke wahuni wenu tena, wachome na kuharibu vitu, wauwe watu ili mje kujustify kuwa yalikuwa ya vurugu, kwa mara ya pili mjaribu kuget away with it?!

Mnazidi kuwadharau Watanzania na kuchukulia poa uwezo wao wa kufikiri, yaani mnarudia makosa yaleyale, huku vijana wakiwa wamejifunza kutokana na experience yao ya kwanza! Yaani unashindwa hata kuwonder, kwani huko Serikalini na Jeshi la Polisi KUMEJAA WAJINGA? HAKUNA HATA MMOJA MWENYE AKILI akawatoa kwenye hii chain ya upumbavu?

WAtanzania wa leo sio wa jana, hili nalo litakuja kubackfire!
Mi mwenyewe nashindwa kushangaa. Eti Vurugu Vurugu
 
Hoja nzuri kabisa.
 
Naona kitanzi cha SADC, AU, EU, kina wabana bila kusahau aicc
 
Kama mnaona wanarudia makosa, si ndo ahueni kwenu mtakaotokaa? Huruma ya nini sasa si ndo mafanikio yako?

Waache waziendeleze mbinu zao na nyie mtumie za kwenu! MALALAMIKO YA NINI? HUO UPENDO WA GHAFLA UMETOKA WAPI? Mmeamua kuharibu haribuni, na wenye mamlaka ya kuzuia uharibifu watafanya majukumu yao..OVER!
Huruma? Malalamiko? Hebu nipishe hapa😒😒
 
Back
Top Bottom