Serikali na vibaraka wao wote baada ya maandamano wakati wa uchaguzi wamekuja kulaumu wananchi ndio waliochomo moto sheli, biashara za baadhi ya wasanii pamoja na magari ya watu mbalimbali.
Swali...
Kesi inayowakabili watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika na matukio ya uhalifu yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu baada ya upande...
Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya...
Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa.
Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na...
Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena...
Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la...
Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewaonya maafisa usafirishaji (Boda boda) likiwataka kuacha kufanya vitu kwa mkumbo kwa kuwa kufanya jambo Kwa mkumbo kunanaweza kusababisha madhara kama...
Baba Askofu Bethania Simon Mpembwa, Kiongozi wa Kanisa la Neema ya Kitume, Mbezi Luis Mkoani Dar Es Salaam amesema ni faraja kuona dhamira ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuendelea kulileta...
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia...
Mhariri wa The Chanzo Khalifa Said anasema kilichotokea Oktoba 29, 2025 ni “natural outcome” ya juhudi za wanaoshikilia madaraka kuminya kila nafasi ya wananchi kushiriki kwenye uendeshwaji wa...
Katibu wa Kamati Maalum vya NEC Zanzibar , Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamisi Mbeto Khamis ,ameeleza hayo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Visiwani humu
Mbeto alisema matatizo...
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.
Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha...
Tunajua njama zote zinazofanywa na wenye mamlaka fake kuwatumia polisi. Na polisi walivyo wajinga wanaingia mkenge.
Tuko kwenye point of no return. Mpende msipende tunakwenda kuikomboa nchi...
Nimefuatilia uapisho huu wa Waziri Mkuu na jambo moja limejionyesha wazi kuliko yote, ni sura za wageni waalikwa, na hata za viongozi waliokuwa karibu naye, hazikuakisi ile furaha ambayo kawaida...
Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali...
Watu walidhani baada ya Rais kutangazwa ameshinda basi watu wataacha hizi harakati ila ndo kama wanaanza mambo yamekuwa tofauti ili joto la kisisa lipo juu sana tokea nizaliwe sijawah ona joto la...
Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.