Wananchi kwa pamoja wakiongozwa na vijana wa Gen Z wanazidi kuchapisha mitandaoni mabango ya D9. Shindano hilo linazidi kukua na kuongeza chachu ya kufanyaka kwa maandamano ya pili siku hiyo...
Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli?
Butiku je?
Warioba je?
Peter msigwa je?😂😋🤣?
Yule mjaruo Koko, Wenje je?
Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano...
Vijana mmekuwa kama dekio mnatumika na watu bila kujijua. Kundi fulani lenye nguvu kiasi likianza leo kudai mgao wa maji safi nanyi vijana mnaingia kwenye madai ya maji safi, kesho likibadili gia...
Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea.
Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa...
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini...
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema;
WARAKA WA TEC: Kuna Watu Wanaiharibia Serikali.
Kuna “vita” imeanzishwa...
Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka ili kuepusha nchi kuingia kwenye matatizo makubwa yanayoweza kuathiri amani...
Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano:
===================
Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere...
Kiira Motors Corporation has completed the Tanzanian segment of the MIU Grand Trans Africa Electric Expedition with its Kayoola electric coach. The vehicle covered 1,771 kilometres from Mutukula...
Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi.
Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29...
Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100
Ni pesa ndefu..
Naomba GenZ wenzangu nipeni connection
Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi
Binafsi mimi hata...
Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi.
Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe.
Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya...
Kila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama...
"Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution.
Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi)...