Kina nani wengine ndani ya vyombo hivi kutupiwa zigo la lawama ya mauaji ya mamia ya watanzania baada ya hawa mawaziri kutupwa nje ya baraza la mawaziri .
17 November 2025
Dar es Salaam, Tanzania...
.
Naomba kumshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fursa adimu uliyonipa katika vipindi mbalimbali kuwatumikia watanzania. Naomba nikuahidi tutaendelea kuunga mkono...
Wakuu,
Nini kinaendelea huko kwenye mbogamboga?
Kati hali ya kawaida kwa jambo ambalo serikali imetoka kukanusha media hasa hizi ambazo zipo kwenye malipo hubeba jambo chapchap na kusambaza...
Maisha ya wateule yapo hatarini sana .
ROHO YA KISASI imestawi mno.
Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana .
Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na...
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy...
Wakuu,
Mbona kama hili suala limechukuliwa serious sana na? Sasa TEC wanahusikaje na hoja za wanasiasa?
Kosa la TEC ni kukemea mauaji?
"Haya yametokea kwa sababu hatuna wanasiasa sasa hivi tuna...
Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa.
Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake...
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025...
Kuna huyu jamaa Kumbusho Dawson ametoa sababu za Dotto Biteko kutupwa nje ya baraza la mawaziri ambalo pia ni haramu tu!
Dotto Mashaka Biteko ameachwa nje ya Baraza Jipya la Mawaziri. Dotto...
Baada ya kutupwa nje katika baraza jipya la mawaziri Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema:
Natumia nafasi hii kumshukuru Allah kwa kila jambo na kwa baraka zake katika safari...
Huu mchezo hauhitaji hasira.
Na Bashungwa na mbwembwe zake kuelekea Uchaguzi.
Ulitumika effectively brother. Yaani, ukatumika kufungia Kanisa la Gwajima, matumizi yako yamefika mwisho bro
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa...
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, ametoa wito kwa taasisi zote za Serikali na umma mkoani Njombe kushirikiana naye ili kuharakisha...
Godbless Lema ameonya kuwa “endapo vitendo vya upumbavu havitazuiwa, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa uhasama wa kidini.”
Kwa mujibu wa Lema, haiwezekani kuficha uovu kwa kujificha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.