Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu...
3 Reactions
200 Replies
4K Views
Guys Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu...
6 Reactions
21 Replies
877 Views
Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa...
-1 Reactions
135 Replies
2K Views
Kuna huyu Mtanzania anaitwa Dkt. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania? Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF...
14 Reactions
279 Replies
105K Views
Mfalme Belshaza alimuudhi Mungu pale alipotumia vyombo vya Hekaluni. MENE, MENE TEKELI NA PEREZI (Danieli 5:25) Tutubu tuipuke hukumu ya milele. https://www.youtube.com/watch?v=rrOaRJTqx1k
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Niseme tu ukweli bwana mdogo ilivahi kidogo sana name niingie kwenye mtego wake wa kumuamini ila kwasbabu nili zaliwa smart nika set tsrget zangu ili nijirodhishe kuwa ana choongea ana kijua au ni...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana...
16 Reactions
91 Replies
4K Views
Wakati mnajisifia mnawapiga spana kwenye mikutano wenyewe hapo ndio wanapata walichokitaka.
4 Reactions
6 Replies
492 Views
Askofu Gwajima kushiriki ibada kesho Desemba 7, 2025 kanisa la ufufuo na uzima lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam. Itakuwa ni ibada ya pili kufanyika tangu kanisa hilo kufunguliwa...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama...
16 Reactions
21 Replies
828 Views
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida. Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitaka Wizara ya Muungano na Mazingira kujipanga katika suala la elimu ya muungano hususani kwa vijana kwani wengi...
2 Reactions
23 Replies
745 Views
Bismillah Rahman Rahim Kwanza natanguliza Salamu, na baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja. Natoa Pole kwa Wahanga wote wa kilichotokea tarehe 29 oktoba ya 2025, waliojeruhiwa...
38 Reactions
70 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka...
9 Reactions
10 Replies
380 Views
Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania. Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama...
7 Reactions
19 Replies
570 Views
Inawezekana kabisa huu mgogoro wa huyu askofu vs Maza ikawa ni mbinu ya kuhamisha fikra za Watanzania kutoka kwenye fedheha ya kejeli za nje haswa 254 na EU , na kuwafanya washughulike na migogoro...
2 Reactions
8 Replies
711 Views
“Udhibiti wa Uhuru wa Maoni na Habari”— ambayo ni nguzo muhimu ya demokrasia na ukombozi wa kifikra. Nchi yenye hofu ya Wananchi wake kusema ukweli si nchi bali ni GEREZA. Na Tanzania ya sasa...
3 Reactions
4 Replies
407 Views
Sasa wewe nenda kinyume na hiki Kichwa changu cha Habari hapa hiyo Wiki ijayo ujue kwanini Nyoka hana Ugoko Ok? Nimemaliza.
3 Reactions
39 Replies
762 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…