Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://atqnews.com/africa-tanzanias-tourism-sector-hits-4-billion-surpasses-gold-as-top-forex-earner/#:~:text=Africa:%20Tanzania's%20Tourism%20Sector%20Hits,Top%20Forex%20Earner%20%7C%20ATQ%20News
1 Reactions
6 Replies
229 Views
GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
GTs Hivi leo ninaangalia mjadala kuhusu vyombo vya ulinzi nchini na historia inanikumbusha tukio la ukatili wa kisystem uliofanywa na vyombo vya usalama vya Adolf Hitler dhidi ya Wayahudi na...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana...
7 Reactions
7 Replies
282 Views
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata...
21 Reactions
52 Replies
4K Views
Watu wa Tanzania wanaridhishwa na usimamizi wa uchumi wa serikali, kama inavyoonyesha utafiti wa hivi karibuni wa Afrobarometer. Sehemu ya Watanzania wanaoangalia kwa mtazamo chanya hali ya...
1 Reactions
6 Replies
232 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa na kuonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, Isakwisa Lupembe na Ally...
0 Reactions
5 Replies
262 Views
Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama...
20 Reactions
45 Replies
3K Views
Mungu akimshukia Mama akamuonyesha 5 tena vile itakuwa ataomba kushuka. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
18 Reactions
116 Replies
7K Views
Makosa gani yalifanyika Oktoba 29? ====== Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Zangina Zangina, amewasihi vijana kutojirudia kufanya makosa ya...
1 Reactions
13 Replies
385 Views
Palikuwa na nyoka mkubwa mwenye sumu kali ambaye kwa siri alipenya kwenye nyumba akitafuta kujisitiri kutokana na baridi kali. Nyoka yule mwenye sumu kali pia hasira kwa bahati mbaya akagusa...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Kitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa. Katiba...
5 Reactions
14 Replies
411 Views
Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki...
5 Reactions
7 Replies
438 Views
Yaani ukiwa makazini bila kuangalia ni sekta binafsi au ya serikali,ukija mitaani awe mtu mzima kijana au mtoto,Majumbani mwetu kuanzia wake zetu watoto kina baba mpaka wafanyakazi wa ndano...
2 Reactions
2 Replies
211 Views
Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka...
5 Reactions
180 Replies
3K Views
Kuna kitu nimekuwa nikifikiria sana, na kila nikirudi kwenye hoja ile ile, naendelea kuona kwamba mengi tunayoyasikia sasa ni propaganda tu—njia ya kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa watu...
8 Reactions
7 Replies
337 Views
Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?" Japo wengi wameunga...
1 Reactions
13 Replies
387 Views
Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo. Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana...
2 Reactions
24 Replies
696 Views
Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo...
1 Reactions
27 Replies
784 Views
JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi. Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi...
6 Reactions
15 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…