Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré.
Mkutano huo ulifanyika jijini...
Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10...
#BREAKING: UN CALLS FOR LIFTING OF PROTEST BAN IN TANZANIA AHEAD OF DECEMBER 9
The Tanzanian government has been urged to uphold fundamental freedoms ahead of planned Independence Day protests on...
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia.
Mojawapo wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya...
Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu...
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience"...
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi
Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na...
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
Baraza...
Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu!
Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa...
Askofu Dr Malasusa amesema pakitokea mitikisiko nchini anayepata taabu ni Waziri mkuu
Askofu Dr Malasusa amesema hayo wakati akimshukuru Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati aliyekuwa mlezi wa...
Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku.
Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia...
Wakuu habari zenu,upande wangu Mimi sijambo,japo Niko kwenye maombolezo ya mtoto wa dada yangu aliyeuliwa na Samia.
Naowaomba ndugu wazalendo wa jf Ili kuinyong'oneza serikali ya Samia na kuipa...
Wakuu,
Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
Samia, Ndani kwenu mna makundi !.
Makundi mengine upo nayo ila yanakurahisishia Anguko lako.
Nimepatwa na Hisia, Ndani yenu, kuna watu wanataka KUMUUA KITIMA ili wachoxhee anguko lako...
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi...