Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

wana JF naomba kama kuna ambaye tayari ameshapata zile amendments za sheria ya ajira na mahusiano kazini atuwekee hapa jamvini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanganyika Law Societyu mpo yaani hata kucopy calendar inakuwa issue? Kalenda halisi ya July yatakiwa kuwa na tarehe kama ifuatavyo,
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kama mwenye document ya sheria hizi za uchaguzi anisadie 1.Katiba ya Tanzania mwaka 1977 2.Sheria ya uchaguzi ya 1985 3.Sheria ya vyama vya uchaguzi No 5 YA 1992 4.Sheria ya gharama...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wanasheria/yeyote mwenye softcopy ya CPA 1985 naiomba hapa Jamvini. Advance Thanx
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaji mstaafu, Dk. Robert Kissanga, ameelezea kukerwa na kukithiri kwa rushwa mahakamani na kusema kuwa baadhi ya mahakimu wamekuwa wakiandaa hukumu mbili kwa ajili ya kupendelea upande utakaotoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mhasibu alitoweka na 23M miaka 9 iliyopita, sasa anapiga simu kuwa amerudi na ameokoka, anataka kurudisha hiyo pesa (23M ) Lakini kwa masharti kuwa kesi IFUTWE. Je sheria inasemaje kwa mtu kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea wafungwa wa kike, hasa hasa wafungwa wajawazito na watoto...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea wafungwa wa kike, hasa hasa wafungwa wajawazito na watoto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapenzi wa sheria, Napenda kujua kama kuna kikundi chochote nchini ambacho tunaweza kukiita ThinkTank katika mambo ya Sheria. Nadhani kuwepo kwa kikundi kama hicho kungesaidia sana katika mambo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JESHI la Polisi nchini limesema kuwa hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu licha ya jeshi hilo kuwa na mwongozo wa utaratibu wa matumizi ya vifaa hivyo kwa askari wake. Aidha jeshi...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
The United Nations General Assembly passed a non-binding resolution on Wednesday, declaring access to clean water and proper sanitation as a fundamental human right. While 122 nations voted...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampala The constitutional court has declared the practice of female genital mutilation unconstitutional and against human rights. Five judges led by the deputy chief justice Leticia Kikonyogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
To the apartheid regime in South Africa, Bram Fischer was a traitor. He was born in 1908 into a powerful Afrikaner family. His grandfather, Oupa Abraham, had been the first (and only) prime...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu. Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sikiliza mwenyewe habari hii Hivi inagharimu kiasi gani kwa waandishi wa Tanzania nao kuanza tabia ya kufuatilia mambo kwa undani kama hawa jamaa zetu..??
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika kuwalinda wasichana dhidi ya KUDANGANYIKA na KUHARIBU NDOTO ZA MAISHA YAO... kuna matangazo kadhaa yanatoka kwenye redio na TV kuhusu "FATAKI".Hivi ndugu zanguni, pamoja na nia njema kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hello pipo....kuna mtu anaweza kunipa mwanga hizo successes and failures of labour law in bridging the gap between an employer and an employee in Tanzania terms of rights and liabilities of both...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani naomba muongozo juu ya sheria ya umiliki wa kiwanja inasemaje? Kuna kiwanja nimenunua Arusha alieniuzia ni mtoto wa mwisho katika hiyo familia ambaye baba mzazi wao alishafariki na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF naombeni msaada wenu ili sheria ifuate mkondo wake: Hapa job kwangu nina rafiki yangu amenielezea tatizo lililo mpata kaka yake ni hivi: Kaka anabinti yake ambaye anasoma form IV lakini...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nina maswali mengi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama ya rufaa juu ya rufaa ya serikali kwenye kesi ya mgombea binafsi; 1.Hukumu ina defects maana hakuna mahala kulipoonyesha appeal allowed au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…