Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

wakuu,......... nimeperuzi tovuti ya bunge kusaka hiyo sheria, lakini sijafanikiwa kuiona ................. naomba mwenye copy ya hii sheria.............. ama keyword ya kusearch moja kwa moja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaji Mkuu aomba bajeti zaidi kwa Mahakama Imeandikwa na Hellen Mlacky, Bagamoyo; Tarehe: 22nd December 2010 @ 22:56 JAJI Mkuu Augustino Ramadhani ameiomba Serikali kuongeza bajeti ya Mahakama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmiliki Palm beach kumburuza Tibaijuka Wednesday, 22 December 2010 20:24 Nora Damian MMILIKI wa kiwanja kilicho jirani na Hoteli ya Palm Beach...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
as-salāmu ʿalaikum, wanajamvi Mie naomba kuuliza kuhusu Kadhi Court; Je ikianzishwa mahakimu watakuwa wakina nani? Je mahakimu wetu hawa wa sheria za Jamhuri wataruhusiwa kusikiliza...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanasheria 50 wa serikali wazuiliwa kupata uwakili Monday, 20 December 2010 20:28 James Magi SERIKALI imewawekea pingamizi wanasheria takribani 50...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna habari kuwa Rufaa ya Amatus Liyumba imetupiliwa nje na Mahakama Kuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hukumu yaitikisa Zantel Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 15th December 2010 @ 07:45 KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), imetikiswa na pigo la kisheria baada ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Washtakiwa wavua nguo mahakamani Na Rabia Bakari WASHTAKIWA watatu katika kesi ya wizi wa kutumia silaha wamefanya kioja cha aina yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Record 337 advocates join the bar By ABDULWAKIL SAIBOKO, 17th December 2010 @ 13:00, Total Comments: 0, Hits: 61 THE Chief Justice, Augustino Ramadhani on Friday admitted some 337 advocates, a...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Judge questions BAE deal over payments for Tanzania contract Mr Justice Bean tells Southwark Crown court it appeared that BAE had paid 'whatever was...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Jaji amuonya Manji kesi ya Mengi Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imemwonya mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam Bw. Yusuf Manji kuacha kuchelewesha usikilizaji wa kesi dhidi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mawakili watakiwa kuacha dhuluma Saturday, 18 December 2010 08:33 James Magai JAJI Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani, amewataka mawakili kuacha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kuuliza mimi ninamtu namjua amenitukana na kunikashifu kwa kunitumia sms lakini yeye anaishi shinyanga mimi ninaishi tanga je nini naweza kufanya ili hatua za kisheria nizifate??Tafadhali...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakuu nina swali. Hivi sasa si wengi tunaziamini mahakama zetu, mahakama zinatenda "haki" kwa matajiri kama wakitoa chochote au wakiwa wazito, lakini ukiwa maskini hasa pale unapovutana na mzito...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Thinkers, Nadhani katika mazingira ya utandawazi si jambo geni kampuni moja kushindwa au kuacha biashara ikaendeshwa na kampuni nyingine. Ili niwe specific ni kwamba kuna matukio ya kampuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CJ lashes out at lawyers on human rights From ISSA YUSSUF, Zanzibar, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 64 LEGAL associations have not done enough in promoting human rights and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam naomba kuelimishwa kwa nn mahakamani hawaruhusu kupiga picha.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF,ninaomba msaada wa kisheria kuhusu taratibu za kumuasili/adoption/ ya mtoto hapa Tanzania.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaji Mkuu agoma kujitoa kesi ya samaki 'wa Magufuli' Thursday, 16 December 2010 20:39 James Magai JAJI Mkuu wa Tanzaia, Agustino Ramadhan, amepuuza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watuhumiwa wa mauaji NMB Temeke wagoma Thursday, 16 December 2010 20:48 Tausi Ally WASHTAKIWA zaidi ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya mauaji katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…