Naomba kujua juu ya kadhi court | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua juu ya kadhi court

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Geza Ulole, Dec 21, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  as-salāmu ʿalaikum, wanajamvi

  Mie naomba kuuliza kuhusu Kadhi Court; Je ikianzishwa mahakimu watakuwa wakina nani? Je mahakimu wetu hawa wa sheria za Jamhuri wataruhusiwa kusikiliza kesi hizo? yaani tuseme kama mama Munuo (mwanamke) pale...anapigwa course miezi sita ya sheria za Kiislam halafu anatoa hukumu! Na kama haruhusiwi mtu yeyote zaidi ya Ma-sheik (yaani wale wenye imani ya kiislam), Je kesi zenyewe zitafanyika wapi? katika majengo ya mahakama ya Jamhuri au? na kama ni majengo hayo, ni kwanini wahusika wakubali ku-share majengo sehemu yasiyo takatifu kutoa hukumu yenye itikadi za kiimani ilhali wawe tayari kukataa wataalam yaani ma-judge waliopo kuzihukumu kesi hizo kama Afrika kusini (iliyo incorporate Kadhi laws in the main stream laws)? huo u-radical unatoka wapi? na kwanini watake pia kutumia funds toka serikali ya Jamhuri ambayo inakusanya kodi kwa hata wale wasio waislam maana hapa kuna swala la imani flani sasa kama unakataa mtu asikusomee hukumu kwa vile si mtu wa imani yako sasa suala la fedha za uendeshaji linakaaje kaaje?

  NOTE

  hayo ni maswali tu sina nia ya kumbughudhi mtu naomba ustaarabu katika kujibu tupate logical sense...
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Mashekhe na Maimamu, watakuwa wanaendesha hizo kesi Misikitini.
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mbona unonekana unajua tayari, umeshajua zitakuwa radical, zitatumia kodi yako etc. Why waste ur time asking silly questions? Just invite ur fanatical members muanze kutukana. Do not wory mods are in our side, they won't mind!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Nitumie neno ubaguzi basi badala ya U-radical maana i thought ni appropriate word compare to extremism...au kiingereza kigumu jamani? niambie neno la kutumia litakalokupendeza
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  sasa kwa nini kodi yangu mie ichakachuliwe kuendesha masuala ya misikiti? au kiroho?
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Simoooooooooooo!
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hizi Mahakama ni Ibada za Waislamu! Itakuwa kichekesho kwa Ibada kufanyikia nje ya msikiti! Waislamu waendeshe Ibada yao ya kikadhi kwa fedha zao misikitini, hakuna atakayewasumbua!
   
 8. J

  JokaKuu Platinum Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ..binafsi sina tatizo na serikali kuwasaidia kifedha kuendesha mahakama za Kadhi.

  ..tatizo litakuja pale mahakama hizo zitakapotumbukizwa ndani ya katiba na serikali kuwa na mamlaka ya kumteua Kadhi Mkuu kama kule Zanzibar.

  ..suala hilo lilizua utata mkubwa pale Waziri Adam Mwakanjuki, Mkristo, alipotekeleza wajibu wake wa kupendekeza jina la Kadhi Mkuu, ili ateuliwe na Raisi wa SMZ.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu jitahidi kushirikisha ubongo! Hata kama unafanya kazi Msikitini ama Madrasa onyesha weledi wako. Hujui kuandika wewe ni Ngumbaru
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mngeaza kumkamata ngumbaru mohd kwa kumbaka aisha
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  MOD tunawaomba mtusaidie huyu jamaa ana shusha hadhi ya great thinkers! hii ni kitu gani?
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Unaonekana majibu unayo, maana maswali yako hayakukaa kuuliza! ............ yaani umejichanganya changanya tuu ! hebu jipange uje tena, kuwa huru!
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  mbona haiwaadhibu wale masultan mababwa wa Saudia Arabia walio Riyadh a stone throw away from Mecca and Medina? mmoja amedakwa juzi landani baada ya kuua mwandani wake! au mkuki kwa nguruwe? na wale wanaokuja Loliondo na Zanzibar? huwa wanakuja na mabwabwa imported toka Ulaya kujivinjari nayo...
   
 14. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kwani unalipa peke yako? ndio maana umeambiwa ulikua unauliza majibu na si maswali !
  Hivi kodi yako aliyo ichakachua RA na EL umewahi kuidai?
   
 15. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  nimekukubali hapo heheheh
   
 16. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  nitaidai vp wakati nikikemea mnadai mie naichukia serikali ya Kikwete ati kwa vile sio dini yangu
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kwani Fedha ambazo si "zao" ni zipi??
   
 18. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  at least baba yangu mie alisoma bure na umaskini ule! mie bana sitaki kodi yangu itumike hivyo nyie mna matajiri wengii nchi hii wakina Bakhresa, Mohammed Enterprises, Rostam Aziz, Abood na wengineo mnaweza anzisha Kadhi fund mahakama zikasimama watu wakala shuluba yao kama imani inavyoruhusu bila ya kuniibia mie! mie ninunulieni dawa hospitali.....! Mnaninyanyapaa hivyoooo...
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii si Ibada bali ni taratibu ya maisha ya watu wanaomjua Mungu wa Kweli. Kuhusu kodi zenu mbona hamna kodi nyie kwani yote inaishia katika misamahja mnayoomba!1
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  massage sent,though!!
   
Loading...