Record 337 advocates join the bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Record 337 advocates join the bar

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutashubanyuma, Dec 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Record 337 advocates join the bar

  By ABDULWAKIL SAIBOKO, 17th December 2010 @ 13:00, Total Comments: 0, Hits: 61

  THE Chief Justice, Augustino Ramadhani on Friday admitted some 337 advocates, a record number to be admitted since independence, saying that the advocate to customer ratio is still very low standing at 1:36,000.

  The ratio of advocate to customers in other East African countries of Kenya and Uganda is 1:6000 and 1:3500 respectively. The admission of new advocates brings the number of registered advocates in the country to 1660.

  “When I took over office as the Chief Justice in 2007, I found a bundle of pending petitions for advocates. I promised to work hard and make sure that the number of approved advocates increases and we have managed to reduce it by far, but still much need to be done as some 1,130 applications are pending,” he said.

  The trend of admitted advocates since 2005 to last year has been 74, 93, 89, 121 and 55 respectively. This year alone some 271 were admitted in June and 337 others were admitted yesterday.

  This is happening as the term of office for CJ ends on 28th of this month. The CJ noted that there were over 400 law graduates every year from universities around the country, calling for increased efforts by the judiciary to also increase the number of advocates admitted every year.

  “Some people think that more lawyers are becoming advocates because the quality of education has gone down, this is not the case. The education quality remains the same, but many universities now are producing lawyers,” he said.

  Justice Ramadhani further urged advocates in the country to extend their services to remotest areas of the country, saying that there were some regions in the country which did not have even a single lawyer, a situation that deprived legal services to people in those areas.

  The Tanganyika Law Society (TLS) President, Mr Felix Kibodya commended the move by the judiciary to admit more advocates, saying that the trend needed to be boosted as competition within East Africa Community (EAC) countries was stiff.

  “Most of Tanzanians can not afford expenses that advocates require, I therefore call upon you to always be ready to volunteer in collaboration with TLS to provide free legal assistance to our poor people,” he said.

  Mr Kibodya also reminded the advocates of the importance of updating their skills in a bid to go hand in hand with this science and technology world. The Attorney General, Justice Frederick Werema welcomed the new advocates to the Bar and urged them to keep and maintain the highest standard of the Bar in the country.

  “You will soon assume the role of officers of the court. There are many roles of you as such but I think the major ones are simple. These are; a strong understanding of the legal doctrine and principles, a good sense of historical and social context and most importantly, a firm set of ethics,” he noted.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nasikia watumishi wa serikali waliomaliza law school wamekataliwa kuwa admitted!
   
 3. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  Wametoa sababu zozote za kuwakatalia watumishi wa serikali?
   
 4. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ni kama 50 hivi
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sijasikia sababu yoyote rasmi ila tetesi ni kwamba wanataka kama unataka uwe advocate uache kazi Serikalini!
   
 6. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  That won't be fair. Ina maana wanataka mtu ukiwa unafanyakazi serikalini, unaweza kujiajiri kama mfanyabiashara, au hata shughuli zingine lakini si uwakili? The government should be sued!
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  That seems to be the case! Inaonekana kama wanataka kulinda haka kasoko! Imekaa kama mambo ya CPA (Certified Public Accountant), kuipata kwake ni shughuli pevu!
  Huyu CJ naye simwamini anachokisema na anachokifanya ni tofauti kabisa! Hebu soma maneno yake hapa chini:


  "the advocate to customer ratio (in Tanzania) is still very low standing at 1:36,000.

  The ratio of advocate to customers in other East African countries of Kenya and Uganda is 1:6000 and 1:3500 respectively. The admission of new advocates brings the number of registered advocates in the country to 1660."

  Sasa kama ratio bado iko chini kuna haja gani ya kuwabania watumishi wa Serikali?
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Nafikiri wakipatikana wanasheria wazuri wanaweza ku-argue kuwa kuwazia wafanyakazi wa serikali kuwa mawakili NI UBAGUZI na ni kinyume cha Katiba. We ngoja tu, ipo siku serikali na Judge wake wataburuzwa huko huko mahakamani wanakofanyia kazi.
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Dec 19, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sijui kama hilo linawezekana maana wanasheria wenyewe walio kwenye ngazi ya uwakili wa kujitegemea ni interested parties!
   
 10. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Nikusahihishe sio ubaguzi ila inaangukia kwenye haki ya kufanya kazi inayopatikana chini ya Ibara ya 22 ya katiba:

  Haki ya kufanya kazi
  (1) Kila mtu anayo haki ya kufanya kazi.

  (2) Kila raia anastahili fursa na haki sawa, kwa masharti ya usawa, ya kushika nafasi yoyote ya kazi na shughuli yoyote iliyo chini ya Mamlaka
  ya Nchi.
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Dec 19, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sijakuelewa unataka kusema nini hasa! Baadhi ya watumishi wa Serikali kutokuruhusiwa kuwa Mawakili wa Kujitegemea vinaingilianaje na haki ya kufanya kazi?
   
 12. Hiphop

  Hiphop Member

  #12
  Dec 19, 2010
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna huu msemo kuwa huwezi kuwatumikia mabwana wawili uliotumika kwenye biblia,hiyo ndiyo logic iliyotumika,kisheria huwezi kusave interest za Republic na client at the same time,for example ukiwa state attorney then ni advocate utakuwa kwenye position ya ku prejudice rights kwa kuwa una uwezo wa kufanya double deal,unaweza kumshtaki m2 ukawa upande wa republic then ukamdefend kwenye appeal,hapo unakuwa unajua weaknes za prosecution case,so ni bora hao wafanyakazi wa serikali waresign post zao na kuapishwa.
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Dec 19, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi ma-lecturer wa Vyuo Vikuu ambao ni Mawakili wa Kujitegemea na Wanasiasa ambao ni Mawakili wa Kujitegemea wanawezaje kutumikia hao mabwana wawili?
   
 14. Hiphop

  Hiphop Member

  #14
  Dec 19, 2010
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka wewe ni mwanasheria?kwenye suala la determination ya haki huwezi ukafanya double representation,kuna common law principle kwenye legal ethics inayoitwa 'the great wall',hebu nikupe mfano huu,imagine wewe ni Wakili msomi wa serikali,umepewa file ufanye prosecution then ukashinda kesi na kufanikiwa kumfunga m2 then m2 huyo akakata rufaa na kuja kwako umpe msaada maana wewe pia ni advocate na ukaichukua hiyo kesi,huoni hapo umeinfringe haki za upande mmoja maana unajua weaknes za one side then umehamia another side.Hali hiyo ni tofauti na wakili kufundisha chuo maana anachokifanya ni kutoa elimu na sio determination ya rights so hapo hakuwezi kuwa na conflict of interest.
   
 15. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Sorry, nilikuwa nacomment kwenye post namba 8 ambae alisema kitendo cha jaji mkuu kukataa kuwasajili wanasheria kuwa mawakili kinakiuka katiba kwani ni cha UBAGUZI.

  Kwa maoni yangu kitendo hicho kinakiukan haki ya msingi ya kufanya kazi a
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Dec 20, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ok, thanks!
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Dec 20, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Unapokwepa suala la ma-lecturers kuwa Mawakili wa Kujitegemea, kwa ku-base kwenye theory kuliko practice sikuelewi!
   
 18. Hiphop

  Hiphop Member

  #18
  Dec 20, 2010
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sijalikwepa kaka,nimeeleza kuwa situation iliyopo kati ya kuwa advocate na lecture,na kati ya state attorney na advocate ni tofauti,maana kuwa advocate na lecture hakuna conflict of interest maana hakuna determination ya rights, ila ukiwa private advocate then ni state attorney ni ngumu kutegengeneza the great wall of china in separating the interest,maana interest za client zinaweza kuingiliana na za republic,itamuwia vigumu m2 kuchagua afanye nini hence anaweza kuwa driven by money factor na kuinfringe haki za upande mmoja.In short ni kwamba huwezi kuwatumikia mabwana wawili,inabidi uchague moja.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Dec 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hilo la kuwa state attorney na private advocate mbona mgongano wake wa kimaslahi uko wazi.
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Dec 21, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hilo la State Attorney kuwa Advocate nafikiri sina ubishi nalo, lakini nasikia watumishi wote wa Serikali walikataliwa kuapishwa! Sasa hapa naona kuna fear of unknown!
   
Loading...