msaada wa kisheria kwa mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kisheria kwa mtoto

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by huba.c, Jun 30, 2011.

 1. huba.c

  huba.c Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wanandugu naomba kuuliza tu kwa wale wenzangu wanaoijua sheria! Baba anapokua mkaidi kutoa hela ya matunzo ya mwanae wea do I go to complain about this na sio kwamba hana uwezo! Somebdy pls help!
   
 2. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Unaenda ustawi wa jamiii au mahakamani. Unapewa maelekezo nini cha kufanya ili baba atoe matunzo. Tembelea ofisi yoyote ya mwanasheria(wakili) mlipe elfu 10 au 20 akupe ushauri wa nini cha kufanya.
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ACHA KUMDANGANYA MWENZAKO,LAZIMA UJIULIZE KWANZA NI KWA NINI HATOI MATUNZO,LABDA KAMPELEKA MTOTO DNA KWA SIRI KAGUNDUA SIO WAKE AU WEWE ULIKUWA UNA WANAUME KIBAO WAKATI WA KUBEBA HIYO MIMBA?AU AMEAMUA KUKUPA ZAWADI YA MTOTO SASA WEWE UNASHINDWA KUTAFAKARI UNAANZA KUFIKIRIA NIFANYEJE INA MAANA WEWE MAHAKAMA NA USTAWI WA JAMII HUPAJUI?/

  NA KAMA UNATAKA KWENDA KUMSHTAKI BABA WA MWANAO ILI IWEJE??AKUPE MATUNZO HALAFU UHUSIANO WAKE NA MTOTO NA WEWE UNALAZIMIHWA NA MAHAKAMA AU NI HIYARI YA MTU

  KAMA AMEKUPA ZAWADI HUYO MTOTO NA WEWE UMESHINDWA KUMLEA SERIKALI YA CCM INALEA WATOTO WAPELEKEE PALE IKULU WATAKUSAIDIA

  ILA KAMA WEWE NI WENGE /MAPEPE NA UNA MABWANA KIBAO HUO MSALA WAKO ILA UKIPELEKA CCM PIA WANAKUSAIDIA,WAPELEKEE MAGAMBA WATAMLEA HUYO AJE KUWAPA KURA MOja
   
 4. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa mkuu unapinga ushauri wa kitaalam kwa kuweka upupu, ingefaa kama ushauri wako ungekuwa wa kitalaam zaidi ya ule unaoupinga.
   
 5. A

  Aine JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ungeeleza kwa kina kwanini anakataa kumpa matunzo huyo mtoto wake? lakini kama anakataa tu nenda ustawi wa jamii utapata ufumbuzi
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Fafanua zaidi hapa ni kwa nini baba amekataa kutoa matunzo ndo watu wakusaidie na ilikuwaje kuanzia wakati mtoto anazaliwa na hali ibadilike sas ahivi
   
Loading...