Sheria Hii ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria Hii ikoje?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by De Javu, Jul 1, 2011.

 1. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika pitia yangu ya magazeti ya bongo nimeona picha ya mtu aliejeruhiwa katika ya ajali ya gari, chini yake kuna maelezo kua jamaa anakimbizwa Polisi kupatiwa cheti ili akatibiwe....... Hivi sheria hii ni sahihi kweli? Unapokua katika hali ya maumivu badala ya kukimbilia kupata matibabu lazima uripoti Polisi kwanza......Jee hii ni sawa?
  Jadili/Changia..................!

   
Loading...