Baba amlawiti mwanae Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba amlawiti mwanae Kilimanjaro

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Lekanjobe Kubinika, Jun 16, 2011.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Source: Radio One Taarifa ya Habari ya Saa1 Asubuhi leo.

  Polisi Mjini Moshi wanamshikilia baba mmoja aitwaye Idd Hashim kwa kumnajisi mtoto wake wa kufikia mwenye miaka 6 anayesoma katika shule ya Msingi ya Kahe darasa la Pili. Ilidaiwa na mwendesha mashitaka kwama baba huyu alitenda tendo hilo wakati mama ya mtoto akiwa kaenda shambani mchana wa saa sita nyumbani kwake Madukani, alimwita mtoto huyo chumbani, akamziba mdomo na kisha kutimiza kulitumikia pepo lake la ngono mchana kweupe huku mtoto akishindwa kujitetea. Baba huyo akiwa tayari kawa mwepesiiiiii, anahifadhiwa kwenye kituo cha polisi wakati uchunguzi wa kipolisi ukiwa unaendelea.
   
 2. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  sasa wepesi utamfanya anyee debe 37 years...damn!!!!!!!!!
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Dunia imekwisha aise
   
 4. N

  Ngoswe11 Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wengine bana sijui vipi!

  We unachukua njochoro yako unaiingiza kwa mtoto wa miaka 6 unafaidi nini sasa pale enheeee? Mbona moshi kuna totoz poa sana, totoz za kichaga ni visenti vyako tu basiiii unakula mzigo kama una-nawa vileee huyo jamaa au alikuwa anatimiza masharti ya kwa mganga? sasa atajiju na akitoka huko miaka 30 atakuta huyo mtoto ameshaolewa na yeye aje kulea wajukuuuu!

  NB: TAMAA MBAYAAAAAA by Twenty per (20%) Wasugulieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Mtu kama huyo miaka 37 ni kidogo, auwawe tu.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  huyu ni kifungo cha maisha ndio chake
   
 7. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Anaitwa Iddi Hashim! Unajifunza nini hapo? Jana nikiwa kwenye daladala nimemsikia Shekh akisema waziwazi kwa redio104 FM kwamba "nyuma kumetengenezwa kwa ajili ya kutolea vitu visivyofaa kutoka tumboni, wewe unaingiza vitu vyako nani kakwambia unaingizia hapo? Wanaume hasa wa siku hizi na wanawake pia mjue Mungu hataki."

  Hakuna aliyefungua mdomo, wnaume kadhaa wakawa wanatabasamu, mimi nikabaki kuchekea kwa ndani baada ya kukagua sura za watu wote niliokuwa nao karibu wake kwa waume, walijifanya kama hawasikii kabisa wakati dereva wa daladala aliweka sauti ya juu kweli kweli. Tena Shekh alikuwa anaongea kwa kiswahili akichomekea na kiarabu kwa chati.

  Makanisani pia yanasemwa kwamba wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu, alisema Mtume Paulo. Watu hatusikiiiii!!! Kama inzi aliye radhi kufia kwenye kidonda. Jamani dhambi ni tamuuuu!
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie kaka (samaki mmoja akioza tenga zima linaelekea kuharibika ati) zangu kuna nini, mbona wamama wapo, wadada wazuri sana wapo mnaamua kurudi kwa watoto wadogo jamani, nini hii sasa.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa zetu bwana.....hapa naona umuhimu wa sharia....angekatwa uume wake!
   
 10. e

  eric jombo New Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi watu wengine wakoje jamani sasa unapomlawiti mwanao wakati una mke hii ni kweli una kili timamu au wendawazimu aah huyu bora afungwe maisha tu ndo sawa kaniuzi kweli.
   
 11. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mods, huyu mtu anayejiita FaizaFoxy yuko kwenye ignore list yangu na sikumbuki kama nimemfungulia. How comes michango yake inaingia kwangu? Please check and take action accordingly, bahati mbaya sitaki vichefuchefu mimi!!!!

  Naomba umpotezee tafadhali!!!

  Thanks in advance.

  Tib
   
Loading...