Wakuu naombeni msaada wa kisheria & ushauri tafadhali

Wakuu naombeni msaada wa kisheria & ushauri tafadhali

Tajiri mdogo

New Member
Joined
Mar 14, 2026
Posts
1
Reaction score
5
Eid Mubarak to all celebrating.

Mimi ni Mtanzania halisi, miaka miwili nyuma nilinunua kiwanja huko kisiwani Zanzibar chenye thamani ya million 2.5.

Tulienda kukiangalia kiwanja kisha kuandikishana [aliyeniuzia kiwanja ni mzawa] kisha nikakabidhiwa hati miliki na Shehia.

Baadaye nikaenda kwenye kiwanja changu nikakuta kuna ujenzi unaendelea pale kumbe aliyeniuzia kiwanja alinizunguka na kumuuzia mtu mwingine.

Nilirudi kwa Shehia kumweleza yaliyojiri, Akaitwa akakiri pale kuwa ni kweli alimuuzia mtu mwingine, kisha akaniahidi kunipa eneo lingine nikamwambia hapana anirejeshee tu pesa zangu akasema sawa.

Kila nikimpigia simu anaahidi kuwa tarehe fulani atanikabidhi pesa zangu,
Ikifika hiyo tarehe husika anakuja na sababu za uongo [janja janya nyingi sana]
Nilishapiga simu hadi nimechoka.
 
Wewe unajua yakuwa kama sio mzanzibari uruhusiwi KUMILIKI ARIDHI zanzibari?
Vitu ambayo mtanganyika mailiki zanzibari ni 2.
Sehemu za siri za kike wa zanzibari+ ARIDHI
Sehemu za siri za kike za zanzibari wao wapo tayari KUKUPA Tako ila mbele marufuku
 
mkuu kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya zanzibar , mtu ambaye si mzanzibar hatakiwi kumiliki ardhi huko , japo kuna exceptions chache

View: https://youtube.com/shorts/EGGF3e8gYgk?si=4HqHIP8bdyDTsWYd

tukiwa tunawasubiri wataalam,

20260320_045915.jpg
 
Fungua kesi ya wizi kwa udanganyifu, kuna kesi imeshitakiwa Tanzania baada ya Zanzibar kuuza ardhi kwa mtu wa Mauritius au Mauritania sina uhakika baadae wakaja wakaamwuzia mwekezaji mwingine .
Yule mwekezaji wa mwanzo kawafungulia kesi Tanzania inawezekana ni mpango wao wa kuiba pesa za Tanganyika.
 
Mkuu ukimuuzia Ardhi Uingereza huko Tabora badae ukamzulumu yeye ataenda kuishtaki Tanzania kwenye Mahakama za Kimataifa na hawezi kuishtaki Tabora huko kwenye Mahakama za Kimataifa
 
Back
Top Bottom