Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,703
- 19,589
Wakuu, mwaka 1994, kuna mzee aliingia makubaliano ya kuuza eneo na halmashauri ya mji X, serikali ilitoa ahadi kuwa iwapo mwenye eneo atakubali kuiachia serikali basi yeye atanunuliwa kiwanja sehemu nyingine na atajengewa nyumba,mzee alikubali na serikali ikajenga majengo matatu katika eneo hilo,
Ila ile ahadi ya kumnunulia kiwanja na kumjengea nyumba mwenye eneo ikawa ni danadana mpaka leo. amefuatilia sana bila mafanikio mpaka mwaka huu 2026 akaamua aliuze hilo eneo,alipoliuza,mnunuzi akabomoa jengo moja, alipobomoa tu wananchi wa kijiji wakashtaki kuwa amenunua mali ya serikali wakati mwenye eneo hakuchukua hata cent1, wanasheria,yupi mwenye kosa hapo?