Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kuna jamaa yangu alikamatwa kwa kesi ya kuhisiwa kavunja kaunta ya Bar ,baada ya kumkamata wakampiga na kumpeleka kituo cha polisi, wakachukuliwa Maelezo na mtuhumiwa kawekwa ndani kwa siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mwanasheria Mwenye kujua mambo ya CMA. Location: Mbeya mjini (lazima awe anapatikana Mbeya mjini). Contact: Naomba ani PM Asante.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, nimetakiwa kumsimamia mama mjane juu ya haki zake. Mama huyu aliolewa mwaka 1997 huko Mpanda na mume aliyekuwa na watoto wanne wakubwa. Baada ya mwaka mmoja mume aliyekuwa mfanyakazi...
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Nahitaji copy original 50 mpaka 100 za katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 lugha ya kiingereza, ni pm bei. Nipo Dar.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wa kisheria kuna kesi ya ubakaji kwa mtoto wa miaka 7 amebakwa na vijana wenzie wa umri sawa na wake wazazi wake wamekataa kuelewana na wazazi wa watuhumiwa wanaomba waende mahakamani je...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Msaada wa Kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kumfuata mume naomba aniambie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa mdogo wangu aliajiliwa serikalin mwaka 2012 june akiwa na cheti,anategemea kuhitimu ngaz ya dproma mwez wa tano,,hajapanda daraja mpaka leo,taarifa zlizopo watapandishwa mwez wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kimevamiwa na mtu amejenga nipeni ushauri wa hatua za kuchukua. Ili mtu apate haki yake Kinyume cha hapo msaada unahitajika haraka mizunguko sio dili
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za usiku ....nina kesi mahakama ya mkoa mwanza na kesi ipo hatua za mwisho baada ya polisi kusua sua na ushahidi toka 2010 mpaka leo na mara kadhaa hakimu anamwonya mwendesha mashtaka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau samahani na mniwie radhi kama ntakosea jambo. Naomba wanaojua sheria na wenye uzoefu katika hili kwa kulipitia wanisaidie. Hivi unaweza kumpa mirathi mtoto ambae ulizaa kabla haujaoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam Counsellors...natafuta Expert witness mwenye ujuzi wa maswala ya wanyamapori kwani inapasa aje kutoa ushahidi kuhusu maswala hayo Mahakamani.Anaweza kuwa muwindaji mtaalam,afisa Wanyama Pori...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kuhakikisha watuhumiwa wa makosa ya jinai wanapewa msaada wa kisheria. Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu na watu imetupilia mbali pingamizi la serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msada kisheria naomba mnueleweshe kama unahitaji kujenga nyumba kijijini gorofa moja ndogo tu kama ya vyumba 3 chini na vitatu juu inakulazimu ufuate utalatibu au unajenga tu?maana naviwanja bado...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NAOMBA KUPATA UFAFANUZI Kuna mafunzo nahudhuria ila kuna mabishano yamejitokeza kati matumizi ya neno "SHALL" na "MAY" Sentensi kama 1. Government shall terminate the agreement ....... 2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
[emoji773] [emoji777]title ya thread ilikosewa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomeni msaada wa kisheria ili nijue pa kuanzia, mume wangu alifanikiwa kuanzisha kampuni kwa kushirikiana na raia wa kigeni mwaka 1998 ambapo alikuwa ni mwana hisa, mmoja wa wakurugenzi bahati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesikia kutoka idhaa ya Taifa ya shilika la utangazaji Tanzania TBC kuwa ile kesi mashuhuri inayovuta mioyo ya wengi imepangwa kusikilizwa mwezi march mwaka huu katika mahakama tajwa hapo juu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukifuatilia Post Za Watu Wengi Waliouliza Maswali Utakuta Hazina Majibu Kabisa Na Hata Zile Zenye Majibu Hazikujibiwa Kitaaluma Ya Kisheria,yaani Zimejibiwa Kama Na Mtu Tu Asiyesomea Sheria...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…