Kesi ya kubaka kwa watoto wadogo

Jan 30, 2016
28
20
Msaada wa kisheria kuna kesi ya ubakaji kwa mtoto wa miaka 7 amebakwa na vijana wenzie wa umri sawa na wake

wazazi wake wamekataa kuelewana na wazazi wa watuhumiwa wanaomba waende mahakamani je? ni adhabu gani kisheria inaweza kuchukuliwa kwa watoto hao?
 
Duh mbaya sana hii, hawa watoto wetu hawa si wa kike si wa kiume wamekuwa watundu mno kila kitu wanataka kujaribu ukikosa busara kidogo unaweza jikuta unaua watoto hao waliomfanyia hivyo huyo mtoto wa kike..Hukumu itategemea na mambo mengi sana kuanzia report kutoka daktar yenye udhibitisho kweli mtoto kaingiliwa na huwa mara nyingi wanashauri mtu aliebakwa asijisafishe ili angalau wapate manii za mbakaji sasa sijui kama watoto wa 7yrs wameshapevuka kiivyo....Kama mtoto wa kike hajaumizwa mnaweza kuachana na kesi tu na umwekee mazingira salama mtoto kwa maisha yake ya baadae
 
kama walimwachia manii kesi inaweza kuwa na ushaidi.. ila kama ni ile michezo ya o ile hiyo kesi wataambiwa irudi nyumbani
 
Hakuna kesi yeyote hapo kwakuwa watoto wa miaka 7 hawawezi kutoa manii ambazo hutumika kama ushahidi. Kawa wazaz wa mtoto wa kike wanangangania mahakamani hao wanataka kuwapiga pesa tu waache waende hawatapata kitu.

Duc in Altum
 
Hapo hakuna kesi ya kujibu kwa maana wote wanalingana kwa hiyo wamebakana.. Ingekuwa mmoja amemzidi umri mwenzie kweli ukute walikuwa wanacheza kibaba ndio wakachomekana vikojoleo vyao ndio wazazi wakawaona watasemaje alimbaka wakati hawakutumia nguvu. Na ushahidi wa kitabibu hautopatikana kwa hiyo kesi maana watoto hawana manii ili kuthibitisha hilo tukio.
 
kisheria hakuna kesi hapo,kwa sababu sheria inasema wazi kbs...kwamba mtoto chini ya umri wa miaka 10 hawezi kuingilia,yaani the law presume that the person of such age is not culpuble of having canal knowledge...hapo ni kuwatia viboko tu hao madogo
 
Naona manii imetajwa sana hapo juu. Hivi ili kesi ya ubakaji ithibitike ni lazima manii ziwepo?
 
Naona manii imetajwa sana hapo juu. Hivi ili kesi ya ubakaji ithibitike ni lazima manii ziwepo?
Kweli ufafanuzi unahitajika kutoka kwa wajuzi! Maana kuna date rape ambapo mbakaji huwa amejiandaa kwa spike kinywaji/food ya victim ili atimize lengo, anaweza kutumia condom, ambapo kwa vyovyote manii hayatopatikana when ushahidi is required! Inakuaje hapo? Wajuzi tujuzeni! Na pia kama sikosei kuna kesi ya kuharibiwa mtoto 2yr wa kigoma na watoto wenzie waliomtia jiti hata inabidi afanyiwe surgery kumueka sawa, mama wa mtoto tulikua tukimwona ktk news lkn siku hizi media zimechoka kumuandama naona
 
Kimsingi sheria ya ubakaji imeweka wazi kabisa kwamba kitendo cha kuingiza uume tu (penetration) tu bila ridhaa haijalishi kwa urefu gani? Muda gani? Na si lazima mbakaji amalize haja zake. Tayari ni ubakaji.
 
Thx kwa ufafanuzi code ! Sasa huyo mtoa mada hajapata jibu maana waliotangulia wamesema mpaka manii iwepo, na kwa 7 yrs ni impossible kupata manii na kwa msingi huo hakuna kesi! Je ni kweli? Au hata fidia tu will do?
 
Hapo kesi IPO. Kama itathibitishwa kua kulikua na penetration. Na wakithibitisha n daktari. Na kwa kesi kama hiyo ambayo wahusika wote n watoto Ina maana itapelekwa kwenye mahakama za watoto (juvenile court), na kama mshtakiwa atakutwa na hatia yaan Huyo mtoto. Mahakama inaishia kumtia Haitian tu (convict) then afisa wa ustaw ataandaa report kuhusiana na mazingira ya tukio ikiwemo na mwenendo wa tabia za mshtakiwa pamoja na mazingira yanayomzunguka, then kwenye report hiyo ataishaur mahakama n adhabu Gan itamfaa mtoto Huyo. Anaweza akashaur apelekwe kwenye shule maalum za watoto watukutu kama ile ya mbeya, ama mzazi alipe faini
 
Kwa maana hiyo kubwa kuliko hapo ni fine tu! Mtoa mada kasema wazazi wa victim wamekataa kuelewana na wazazi wa toto tundu ( which obvious kumlipa fidia) na huko mahakamani ni mawili, ama toto apelekwe shule maalum au ilipwe fine, si bora basi wangemalizana nje ya mahakama na pengine dau lingekua kubwa kuliko hiyo fine ya mahakamani! Ni wazo langu tu kwa mtoa mada
 
Yeah Mara nying hua n fain tu, labda kama katika uchunguz wa afisa ustaw utaonyesha kua mshtakiwa ameshafanya kitendo hicho zaid ya Mara moja bas hapo wanaweza wakampeleka kwenye hzo shule shule maalum
 
aah jamani mtoto wa miaka saba hawezi kufanya tendo la ndoa, na hii ni irrebutable presumption there is no way utaishawishi mahakama a child of seven years can have canal knowledge with a woman or another child.
kesi ya ubakaji siyo lazima manii yatoke jamani ila ni lazima proof ya mambo mawili iwepo.
1 penetration
2 without consent
sasa hapo tukiweza kuprove kulikuwa na penetration kwa hako katoto may be ila my line of thinking hainipi logic kuwa watashinda kesi kama hiyo.
 
kisheria hakuna kesi hapo,kwa sababu sheria inasema wazi kbs...kwamba mtoto chini ya umri wa miaka 10 hawezi kuingilia,yaani the law presume that the person of such age is not culpuble of having canal knowledge...hapo ni kuwatia viboko tu hao madogo
nadhani ni 12 mkuu au ulisoma Mzumbe??
 
Kimsingi sheria ya ubakaji imeweka wazi kabisa kwamba kitendo cha kuingiza uume tu (penetration) tu bila ridhaa haijalishi kwa urefu gani? Muda gani? Na si lazima mbakaji amalize haja zake. Tayari ni ubakaji.
nadhani wanazingatia pia na umri! au umesoma TUMAINI?
 
Kweli ufafanuzi unahitajika kutoka kwa wajuzi! Maana kuna date rape ambapo mbakaji huwa amejiandaa kwa spike kinywaji/food ya victim ili atimize lengo, anaweza kutumia condom, ambapo kwa vyovyote manii hayatopatikana when ushahidi is required! Inakuaje hapo? Wajuzi tujuzeni! Na pia kama sikosei kuna kesi ya kuharibiwa mtoto 2yr wa kigoma na watoto wenzie waliomtia jiti hata inabidi afanyiwe surgery kumueka sawa, mama wa mtoto tulikua tukimwona ktk news lkn siku hizi media zimechoka kumuandama naona
kimsingi aliyesema kuwa manii ndio kipimo cha Rape hayupo sahii.... angekuwa wakike nisingemlaumu kwani wao hata bila kusoma vyuo vingi wanafaulu. Kunakesi ya ABDALAH dhidi ya JAMUHURI. Dada aliamka akakuta mwanaume amemlalia na ukeni amejaa manii...... mahakama haikuweza kujenga kesi ya ubakaji. Kigezo kikuu ili ubakaji ufanyike ni MPENYO WA UUME WA MTUHUMIWA KATIKA UKE WA MLALAMIKAJI. Kuwe na Manii ama zisiwepo, kawe kampenyo kadoooogo ama mpenyo wa wazi. katika kesi tajwa hapo juu mtuhumiwa alihukumiwa kwa udharirishaji.
Kimsingi suala la mtoto wa miaka Saba kisheria hakuna ubakaji kwa watoto. lakini hii ni rebuttable presumption kwamba mahakama huchukulia kuwa watoto chini ya miaka 12 hawana uwezo wa kingono ila inakuwa ni rebuttable kwamba ikiwa itithibitika kuwa anauwezo wa kingono basi aweza kuhukumiwa HAIJAWAHI KUTOKEA JAMBO hilo katika mahakama.
lakini Kama hakimu atakuwa ni prominent hawezi kumuachia huyo mtoto hivi hivi... watoto chini ya miaka Saba huwa hawahukumiwi kabisa lakini kuanzia miaka Saba haukumiwi lakini endapo tuu itaonekana alikuwa akielewa anachokifanya kuwa ni kibaya. Thomas Mfaume 7 years alihukumiwa kwa kusababisha moto. Alitozwa faini kwakuwa alijua alichokifanya. Kwa uono wangu Kama hawa watoto walielewa kuwa wanachokifanya ni kosaa..watahukumiwa lakini si kwa ubalaji labda udharirishaji.... watachapwa viboko na faini iwe fundisho kwao na rafiki zao
 
Back
Top Bottom