Salam Counsellors...natafuta Expert witness mwenye ujuzi wa maswala ya wanyamapori kwani inapasa aje kutoa ushahidi kuhusu maswala hayo Mahakamani.Anaweza kuwa muwindaji mtaalam,afisa Wanyama Pori aliye hai au mstaafu,Mkufunzi wa maswala haya.Naombeni msaada kwa anayewajua pls.Kwa mawasiliano 0689900000