bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 387
Naomba kusaidiwa mdogo wangu aliajiliwa serikalin mwaka 2012 june akiwa na cheti,anategemea kuhitimu ngaz ya dproma mwez wa tano,,hajapanda daraja mpaka leo,taarifa zlizopo watapandishwa mwez wa saba,je? akipeleka chet chake cha dploma ngaz yake ya mshahala kubadlika itafuata utaratibu upi??