Kesi ya Nguza Viking (Babu Seya) Mahakama ya Africa Mashariki march, 2016!!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,577
11,204
Nimesikia kutoka idhaa ya Taifa ya shilika la utangazaji Tanzania TBC kuwa ile kesi mashuhuri inayovuta mioyo ya wengi imepangwa kusikilizwa mwezi march mwaka huu katika mahakama tajwa hapo juu.
Nalileta hili kwenu wanasheria ili tuliangalie kwa mawanda yake. Katika mfumo wa sheria wa nchi hii mahakama ndogo ni mahakama ya mwanzo.. mahakama ya juu kimaamuzi ni Court of appeal, je hii mahakama ya Africa mashariki Ina statute gani kwa Tanzania?
Maamuzi ya mahaka hii yatakuwa na effect gani juu ya yale yalokwisha kuamliwa?
karibuni tujadili
 
Back
Top Bottom